Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Habari, Tafadhari naomba hili swala tulikamilishe, imekuwa muda sasa.
=
Update 09:57AM | Ahsante kwa ushirikiano wako.
 
Wazee wa kitonga pakua apps ya "my halo" ipo play store utapata mbs 1024 bure

Sio halopesa ni my halo.

Source: halotel Tanzania facebook
 
Wazee wa kitonga pakua apps ya "my halo" ipo play store utapata mbs 1024 bure

Sio halopesa ni my halo.

Source: halotel Tanzania facebook
Mkuu mbona hii walishatoa toka zamani na watu wakapakua wakajipatia au wameanza tena
 
Wakuu kama kuna mtu tayari kapakua myhalo anirushie basi app, maana kwangu kila nikijaribu install inagoma, cha ajabu app zingine eti zinakubali sijui kuna changamoto gani hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…