Malipo kila mwezi ni kabla ya Tar.12+ ikizidi unaweza kufungiwa huduma ya kupiga + internet Hadi ulipie,ila ukipigiwa Simu itaingia bila shidaBado umemuacha njiani hapo no mbili ..anauliza hiyo 15000 atalipa Kila mwez kwa maana kwamba kifurushi kina expire Kila Baada ya mwez au kifurushi ni unlimited kwamba inategemea na matumizi ya mtu
anakutoaje wakti tayari ushaingia mkataba ndugu na ni mwaka mzimaUmeeleza sawa ila sio kweliii 100%. Unaingiziwa huduma kila mwezi na utahitajika ulipie kila mwezi siku yoyote. Na unaweza kupitisha miezi miwili bila kulipa ikizid apo ndio utazuiliwa kupigia watu ila pia ukishalipa deni unaendelea na huduma kawaida. Pia usipoitaka huduma unamwambia aliekuunga anakutoa so haikufungi asee
Maelezo yametolewa mazuri sana hapo juu mkuuBado umemuacha njiani hapo no mbili ..anauliza hiyo 15000 atalipa Kila mwez kwa maana kwamba kifurushi kina expire Kila Baada ya mwez au kifurushi ni unlimited kwamba inategemea na matumizi ya mtu
Sahihi. Nilitaka kujitoa ikawa inagoma basi nikaacha kulipia kila ikifika mwisho wa mwezi mwishowe wame fungia line Yangu kupiga simu au kutuma text lakini nikipigiwa simu zinaingia au nikitumiwa sms nazipataWeka wazi kuwa ni Tigo PostPaid ! ambapo vigezo na masharti ya kujiunga huzingatiwa.
mie wananidai miezi miwili sa iv nasubili ufike mwez wa nane mwisho wa mkataba ndo nilipeSahihi. Nilitaka kujitoa ikawa inagoma basi nikaacha kulipia kila ikifika mwisho wa mwezi mwishowe wame fungia line Yangu kupiga simu au kutuma text lakini nikipigiwa simu zinaingia au nikitumiwa sms nazipata
Hiyo inasaidia ninimie wananidai miezi miwili sa iv nasubili ufike mwez wa nane mwisho wa mkataba ndo nilipe
Ipo. Call customer care watakuunga na agent wa postpaid.Hakuna post paid ya voda?🥹
Ipo. Call customer care watakuunga na agent wa postpaid.
Vifurushi vyao vya mobile internet vinaanzia 50,000 per month.
Unapata G30 for 1 month at the rate of 2-5MB/s. Ukizimaliza hizo GB before the 30 days period wanakupa free browsing mpaka siku 30 ziishe. (Ila at a lower surfing speed.)
Best of my knowledge, hawana.Hakuna vya 30,000 per month
Aah asante mkuu.Best of my knowledge, hawana.
Wakuu, kama mtu unamatumizi daily ya mobile internet, hivi vifurushi vya postpaid na SME ni msaada mkubwa sana.
Hivi vifurushi vya Postpaid (Tigo & Vodacom) pamoja na SME (Airtel) vina UNAFUU mkubwa mno.
Look at the context.
Kwenye hivi vifurushi unauziwa 1GB kwa bei ya 857/= mpaka 1666/= tu.
Kununua vifurushi kawaida unauziwa 1GB kwa 2000/= au zaidi (kulingana na muda wa kifurushi.
Kingine hivi vifurushi wanakupa muda wa zaidi ya sik 10 kulipa taratibu kiasi chao baada ya mzunguki mpya kuanza (tarehe 1 ya kila mwezi).
Mimi siuzi hivi vifurushi ila ninatumia for 3 years now, and I will recommend it to anyone.
Wasiliana na reliable agents au huduma kwa wateja wa mtandao unaotumia ili kupata maelezo ya hizi packages.
DepalIpo. Call customer care watakuunga na agent wa postpaid.
Vifurushi vyao vya mobile internet vinaanzia 50,000 per month.
Unapata G30 for 1 month at the rate of 2-5MB/s. Ukizimaliza hizo GB before the 30 days period wanakupa free browsing mpaka siku 30 ziishe. (Ila at a lower surfing speed.)
50k mchambuko wake upoje?
35k voda napataga gb 17
Hapana, ikijitahidi tar 23Yes. Monthly.
17GB unamaliza nayo mwezi?
Then the 35GB monthly for 30,000, ya Tigo inakufaa.Hapana, ikijitahidi tar 23
Mara nyingi ni 19/20/21