Yaap nitakuletea wadau ata usijali,, wadau wapo wengi tuuu, hata hapa jukwaani wapo ni vile walikuwa wanaogopa kupigwa, ila huduma ipo inahitaji uvumilivu kwenye mda, mm nimeipata karibia week mbili naaSawa naomba uniletee watu wengine wanaohitaji huduma hii cause wewe umeshaona uhakika wake
Nahitaji hiyo lipa kwa m pesaKuna ujumbe wako PM naomba uusome
Mkuu nipo MOROGORO please naomba kujua kama ipo na Kwa bajeti ya kia's gañ?
Anhaa sasa mister ww unanufaika vipi au maslah kwa upande wako unakuaje baada ya mtu akishajiunga kama hvyo naomba hapo msaadaNipo kujibu kila hoja wakuu, ANY time niulizeni kabla hamjaja na conclusion kua mm ni tapeli, pia niwaombe muwe waaminifu siku mkipata huduma mfute hizo txt mbaya juu yangu !!
akisema naomba unitagAnhaa sasa mister ww unanufaika vipi au maslah kwa upande wako unakuaje baada ya mtu akishajiunga kama hvyo naomba hapo msaada
Sijaisikia hii, ila 5G unlimited zitakua nyingi sana ina Capacity kubwa.Nasikia Tigo nao wameanzisha huduma ya unlimited kama Supakasi ya Voda.
120k kwa mwezi
Yah ni 120k ila ni 4g kwa nilivyosikiaSijaisikia hii, ila 5G unlimited zitakua nyingi sana ina Capacity kubwa.
So minimum ni hio 120k?
4g haina issue unless wawe na coverage ya maana wapeleke vijijini hukoYah ni 120k ila ni 4g kwa nilivyosikia
Vp speed yao?4g haina issue unless wawe na coverage ya maana wapeleke vijijini huko
naomba host nikuundie fileMtaalam wa kutengeneza config files za ssh naomba msaada maana mwisho nafanikiwa na kuimport kabisa ila sipati access.
Speed si mbaya mkuu, issue hapa mkiwa wengi itaweza vumilia traffic kubwa kwa minara ya 4G?Vp speed yao?View attachment 2693706
Hii ikoje?naomba host nikuundie file
Ulimuunga huduma gani?Sawa naomba uniletee watu wengine wanaohitaji huduma hii cause wewe umeshaona uhakika wake
Ipo wazi. Sina duka siko nayo japo nafahamu dukani zinapatkana
Kwanini wanafanya ivyo?Halotel ni majizi unaambiwa unapewa mb 700 kumbe ni mb 650 wanapita na mb 50
TTCL 30 days unlimited internet Bando = Tsh. 5,000.
Karibuni.
Ni VPN Bando. Nakupa File la kutest linalo-expire ndani ya Lisaa limoja, ukiridhika na huduma unafanya malipo then tunaanza fanya Biashara.Tugeie utaratibu ila malipobiwe after