Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #6,961
Mkuu sio kwamba wa nyumbani wana vifurushi vyao na maofisi vifurushi vyao?Fellas
Kwenye hii menu ya Airtel tambueni kuna kifurushi kimoja tu hapo ambacho ni 30Mbps kwa Sh. 110,000
Hakuna kifurushi cha 70,000 msihadaike hilo ni pambo na ni mbinu ya kibiashara tu.
View attachment 2725283
Acha tu Mkuu yani nimechoka.Duuh imekuwaje wamekugomea kwani!
Hakuna kama hicho kitu Mkuu.Mkuu sio kwamba wa nyumbani wana vifurushi vyao na maofisi vifurushi vyao?
Sasa hapa inategemeana na speed ya server ulizoungiwa pamoja na area ambayo upo iko friendly na TTCLBado ulikua Mzembe Mimi nimekula gb149 ndani ya izo 10 days[emoji1][emoji1]
Band pia zinaplay role, ttcl ni band 1800 na 2600, Hawa jamaa wana minara ile ya smart, na smart walikua na minara sijui ya program gani ile nimesahau ila wana coverage kubwa sana, ukipata simu yenye band 2600 hata speed itaongezeka.Sasa hapa inategemeana na speed ya server ulizoungiwa pamoja na area ambayo upo iko friendly na TTCL
Maana mimi ilikuwa inasoma H hata 4G inagoma.
Nikajua pengine ni line sio 4G nikaenda kariakoo kwenye ofisi zao ili ni swap.
Ile nimefika tu pale ofisini nikashangaa ile H ikatoka ikawa inasoma E
Yani ilionekana bora mtaani kwangu kuna bands za network zinazoweza kushika hata 3G kuliko kwenye ofisi yao ambapo inasoma E.
Natumia Pixel 4XL labda pengine haina bendi zaoBand pia zinaplay role, ttcl ni band 1800 na 2600, Hawa jamaa wana minara ile ya smart, na smart walikua na minara sijui ya program gani ile nimesahau ila wana coverage kubwa sana, ukipata simu yenye band 2600 hata speed itaongezeka.
Sa mbona tunatumia simu sawa tu ila kwa eneo langu la kazi ilikua inashika LTE sana ila nikiwa home Ina drop mpk. HNatumia Pixel 4XL labda pengine haina bendi zao
Bladifakeni kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]Wakuu kuhusu yule jamaa wa Airtel aliyetumwa na kiongozi wake.
Jamaa akanicheki mapema leo kaniambia baadaye saa 10 anaibuka. Nikasema poa.
Baada ya muda kidogo kupita akanipigia simu kuwa vifaa vinechukuliwa sana kwa hiyo imebaki device moja (maana nili request Router mbili)
Nikamwambia njoo na hiyo moja hiyo nyingine naweza kuifata mwenyewe ofisini kwenu directly.
Lakini kwasababu umeme umekatika nikawaza vipi akihitaji maswala ya tin, leseni itakuwaje?
Ikabidi nimuulize mahitaji yanayotakiwa yanaweza kuwekwa kwa mfumo wa soft copy. Akakinijibu kuwa hayo yote hayahitajiki cha msingi namba ya NIDA tu.
Nikastuka! Ikabidi nimuulize "lakini baada ya wewe kuleta hicho kifaa si hapo hapo uta activate na mimi kuanza kutumia unlimited internet kuanzia muda huo?"
Akasema huduma hii sio unlimited unapewa GB100 tu.
Ambapo zikiisha kabla ya mwezi utakuwa unapewa GB 3 kila siku mpaka mwezi uishe.
Ambapo hiyo Router utauziwa kwa 75,000
Nikamuambia basi hatukuelewana jana maana mimi nilitaka unlimited na nilisisitiza.
Kwa hiyo mchongo ukaishia hapo.
Hawa nao miyeyusho vile vile tu Kuna sehem pia hawapo badoNgoja niwajaribu hawa kuwaibukia ofisini kwao sipo nao mbaliView attachment 2725645
Bado rahisi mkuu vip wew umeshachukua?Updates*
Kifurushi Cha Airtel 5G ambacho kilitangazwa kuuzwa 70,000 kwa 10Mbps sasa ni rasmi imeanza kuuzwa leo.
Ila kampuni limeamua kuuza kifurushi hicho kwa wateja wa majumbani tu na sio maofinisi. Kwa maana hiyo mteja atalazimika kununua kifaa (Router) kwa gharama ya 200,000.
Bado nakuna kichwa hapaBado rahisi mkuu vip wew umeshachukua?
Chukua kwa hio 5g Mzee hata ukipata watu sizani kama Ina drop speed mie nimepata ya 4g hapa ila kwa kazi yangu naona Kama speed haitosh ningepata kama hio nisingejiulizaBado nakuna kichwa hapa
270K nafikiria niwe na mbinu ya kuifanya internet izalishe.
Nikiweza kupata walau vichwa kadhaa wa kushea hapo itanipunguzia mzigo kiasi fulani
5G kwa area yangu bado ni kipengeleChukua kwa hio 5g Mzee hata ukipata watu sizani kama Ina drop speed mie nimepata ya 4g hapa ila kwa kazi yangu naona Kama speed haitosh ningepata kama hio nisingejiuliza
Yeah ni unlimited Kuna dada hapa karibu yangu kaweka sio muda ndio nimejalibu kuongea nae kanijuza hivyo Tena kasema ni free installation ila kwenye ulipaji kifurushi kinaanzia 110k5G kwa area yangu bado ni kipengele
Vipi hiyo 4G yako ni unlimited au?
Kama sio ODU basi bila shaka hiyo ni Voda Supakasi 20MbpsYeah ni unlimited Kuna dada hapa karibu yangu kaweka sio muda ndio nimejalibu kuongea nae kanijuza hivyo Tena kasema ni free installation ila kwenye ulipaji kifurushi kinaanzia 110k
Updates*
Kifurushi Cha Airtel 5G ambacho kilitangazwa kuuzwa 70,000 kwa 10Mbps sasa ni rasmi imeanza kuuzwa leo.
Ila kampuni limeamua kuuza kifurushi hicho kwa wateja wa majumbani tu na sio maofinisi. Kwa maana hiyo mteja atalazimika kununua kifaa (Router) kwa gharama ya 200,000.
ODU? Ni ipi iyo?Kama sio ODU basi bila shaka hiyo ni Voda Supakasi 20Mbps
Itakuwa kaunganisha watu wengi