Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TTCL miyeyusho yao ni ipi mkuu?? network yana speed si zipo poa au??? manake mtaani kwetu jana wamepitisha izo fiber bado tu kuconnect router tuanze kutumia so i think by tomorrow watakuja kumalizia kufunga manake leo sikukuu.
Kero ya TTCL ipo kwenye kucheleweshwa kupatiwa fiber uliyo request.

Lakini kwa maeneo kama ya Kariakoo huko wamekuwa waki respond haraka sana.

Kama na wewe upo maeneo kama hayo basi itakuwa ni uhakika, ila kama ni tofauti ma hapo basi hiyo minyaya yao haitakiwa na faida yeyote.
 
Sawa ngoja niwasikilizie iyo kesho tuone itakuaje
 
TTCL miyeyusho yao ni ipi mkuu?? network yana speed si zipo poa au??? manake mtaani kwetu jana wamepitisha izo fiber bado tu kuconnect router tuanze kutumia so i think by tomorrow watakuja kumalizia kufunga manake leo sikukuu.
Mitaa ipi mkuu...

Maana sisi wa peripherals tuna njaa nao kwelikweliii
 
Bora supakasi kuliko manyaya ya TTCL
TTCL miyeyusho yao ni ipi mkuu?? network yana speed si zipo poa au??? manake mtaani kwetu jana wamepitisha izo fiber bado tu kuconnect router tuanze kutumia so i think by tomorrow watakuja kumalizia kufunga manake leo sikukuu.
TTCL hangaika upate tu, ila Fiber yao ipo vizuri, kifupi fiber zote Tanzania zipo vyema sana, kama unaconect wired ping ni ndogo sana most of time 2ms hakuna internet ya wireless inafika hapo.
 
Mkuu je sehemu isiyo fika fiber hao TTCl wanafika?
 
Hiyo router ya airtel ya 30mbps hata huku shamba kwetu kinyerezi kifuru inaweza kupiga 5G mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…