Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Dada za town namaanisha kama posta au karikoo wanakupa pasword unatumia paka uchoke postpaid mimi nilitumia ya sme airtel bando inakimbia kama maji 😁🤣🤣
Heee
Hiyo mbona kazi? Unaifaidi wkend ama?
Maana kwa mkoloni utoke jioni, kisha uanze safari za kuifata Posta mjini.

Bundle zote zinaisha fasta yan. Hamna penye unafuu. Na hapo ni umezima 5G… sasa ukiiwasha full sijui inakuwaje
 
Heee
Hiyo mbona kazi? Unaifaidi wkend ama?
Maana kwa mkoloni utoke jioni, kisha uanze safari za kuifata Posta mjini.

Bundle zote zinaisha fasta yan. Hamna penye unafuu. Na hapo ni umezima 5G… sasa ukiiwasha full sijui inakuwaje
Ni wkend unadownload file zako zile kubwa kama ni magemu au movie alafu unarudi zako home na mafile kibao
 
Hiviiii
Mbona naweza kufika 115k jamani?

Najitoa postpaid elf 30, voda 40k nayoweka. Jumla ni 70k… minus 115, inabaki inadai 45😂

Hako ka router si nazurula nako popote?
Sema nitakuwa sina dk wala sms.
Afu kuna package ya 75k niliona kuna mtu alipost japo kwa mara ya kwanza unaunga kwa 120k then mwezi ukiisha unaweza kuunga ya 75k Nayo ni Unlimited
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…