Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Aina gani hiyo Router man?
 
DIsconnect waya wa LAN/Ethernet unaoingiza internet kwenye router then irestart kisha fanya kulogin bila router yako kua na mtandao wa internet..
Nisha type vyote hivo kaka lakini haifiki kwenye ile page ya login..
 
Nimechukua Airtel Broadband 5G Router, kifurushi cha 70K...

Eneo nililopo hamna 5G ila wamekaribia, bado kama 20km wafike..



So far speed ni nzuri kwa matumizi ya kawaida... inachezea 1.2MB-1.5MB per Second..... 1080P inastream softly kabisa[emoji736]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…