Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hapa ni unafanya vyooote mpaka unakosa cha kufanya, unabaki unahurumia unlimited yako tuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Mi mpaka saizi sijui chakufanya

Kuna muda nabaki ku stream miziki online ambayo tayari ipo kwenye device yangu.

Labda changamoto nayoiona hapa ni upungufu wa storage ya kutosha.

Device zangu zote zimejaa, nipo kwenye process ya kutafuta 2TB flash
 
Mi mpaka saizi sijui chakufanya

Kuna muda nabaki ku stream miziki online ambayo tayari ipo kwenye device yangu.

Labda changamoto nayoiona hapa ni upungufu wa storage ya kutosha.

Device zangu zote zimejaa, nipo kwenye process ya kutafuta 2TB flash
Ndicho walichopaswa kufanya mamlaka.

Ni sawasawa na mtoto mwenye utapiamlo sababu ya kukosa chakula cha kutosha. Ili afikie satiety, inabidi umpe chakula cha kutosha mpaka pale atakapokaa sawa. Siku mwili ukifikia kile kiwango kinachotakiwa ndipo anaanza kula kwa ration ya kawaida sasa...

Vivyo hivyo TCRA walitakiwa kufanya hivi, waachie bando za kutosha, watu watafuja kwa wiki kadhaa, then baada ya muda watakosa cha kufanya na hizo bando matumizi yana normalize mahali pake sasa..

Kwa dunia inakoelekea hamna haja ya externals tena mkuu... kama bando ni la uhakika ni mwendo wa ku stream tuu...
 
HALOTEL CUG MWEZI MZIMA


15000
GB 6
DAKIKA 550
SMS 600

25000
GB 15
DAKIKA 1100
SMS 1000

35000
GB 23
DAKIKA 1400
SMS 1000

45000
GB 31
DAKIKA 2000
SMS 1000

55000
GB 40
DAKIKA 3000
SMS 1000

GB TUPU
GB 9 KWA 14K
GB 24 KWA 24K
GB 38 KWA 34K
GB 66 KWA 54K
GB 110 KWA 74K
GB 210 KWA 105K
 
Yaan hapo ndio unazidi kunichanganya,sijui niende Airtel ama Voda
 
Hii naitaji ila kazi kwanza malipo yanafata then nilete feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…