Ndicho walichopaswa kufanya mamlaka.
Ni sawasawa na mtoto mwenye utapiamlo sababu ya kukosa chakula cha kutosha. Ili afikie satiety, inabidi umpe chakula cha kutosha mpaka pale atakapokaa sawa. Siku mwili ukifikia kile kiwango kinachotakiwa ndipo anaanza kula kwa ration ya kawaida sasa...
Vivyo hivyo TCRA walitakiwa kufanya hivi, waachie bando za kutosha, watu watafuja kwa wiki kadhaa, then baada ya muda watakosa cha kufanya na hizo bando matumizi yana normalize mahali pake sasa..
Kwa dunia inakoelekea hamna haja ya externals tena mkuu... kama bando ni la uhakika ni mwendo wa ku stream tuu...