Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Hujailipia miezi mingapi, maana voda hupaswi kuruka miezi[emoji4]Ninayo hiyo router ya voda supakasi, niliichukua ikiwa mpya ipo full.. kama hujapata njoo PM nikupe kwa bei ya hasara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujailipia miezi mingapi, maana voda hupaswi kuruka miezi[emoji4]Ninayo hiyo router ya voda supakasi, niliichukua ikiwa mpya ipo full.. kama hujapata njoo PM nikupe kwa bei ya hasara
Mi mpaka saizi sijui chakufanyaHapa ni unafanya vyooote mpaka unakosa cha kufanya, unabaki unahurumia unlimited yako tuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Voda wana router ya 5G kwa 120k ?Wakuu, hii router ya vodacom 5G (30 Mbps) ya 120k, inahitaji antena tena njee, au unapewa tu router then kwisha habari yako?.
Halafu pia huwa inakaa siku ngapi kupata approval, ukishaenda kuomba hiyo huduma? Maana, nimeomba jumatatu mpaka muda huu naona kimya.
Chief-Mkwawa Charles kilian
Ndicho walichopaswa kufanya mamlaka.Mi mpaka saizi sijui chakufanya
Kuna muda nabaki ku stream miziki online ambayo tayari ipo kwenye device yangu.
Labda changamoto nayoiona hapa ni upungufu wa storage ya kutosha.
Device zangu zote zimejaa, nipo kwenye process ya kutafuta 2TB flash
Umenunua na router yao 270k?Ya Airtel nimenunua ni moto 🔥🔥🔥
Ndio kiongoziUmenunua na router yao 270k?
Kesho asubuh mno nawahi hapo offisini kwaoNdio kiongozi
Yaan hapo ndio unazidi kunichanganya,sijui niende Airtel ama VodaLeo nimekwenda voda shop pamoja na airtel.
Airtel wameniambia hawana router ya 70,000 unlimited
Unlimited ni 11,5000
Ila nilipowabana sana na maswali nikagundua janja janja nyingi hawana unlimited wanatoa GB 66 kwa mwenzi..
Vodacom wao wanatoa 4G router kwa 115k
20MB/S maximum.
Ila 5G wanatoa 30MB/S ni maximum tokana na pesa uliyolipia,ukitaka hata 200MB/S unapata ni pesa yako tu kama uko na router ya 5G.
Airtel wanauza packages
Vodacom wanauza Speed.
Nimejaza fomu ya voda,wacha nisikilizie account itoke.
Kama ni ishu ya unlimited inakuchanganya mimi nimenunua last week router ina unlimited. 200,000 + 70,000 ya bundleYaan hapo ndio unazidi kunichanganya,sijui niende Airtel ama Voda
Hii ni dili..Kama ni ishu ya unlimited inakuchanganya mimi nimenunua last week router ina unlimited. 200,000 + 70,000 ya bundle
Hivi siwezi nikapata Airtel shop hapa mlimani mpaka niende Morocco??Kama ni ishu ya unlimited inakuchanganya mimi nimenunua last week router ina unlimited. 200,000 + 70,000 ya bundle
Airtel shop ipo mlimani city ndani, nimenunua yangu hapo.Hivi siwezi nikapata Airtel shop hapa mlimani mpaka niende Morocco??
Hii naitaji ila kazi kwanza malipo yanafata then nilete feedbackHALOTEL CUG MWEZI MZIMA
15000
GB 6
DAKIKA 550
SMS 600
25000
GB 15
DAKIKA 1100
SMS 1000
35000
GB 23
DAKIKA 1400
SMS 1000
45000
GB 31
DAKIKA 2000
SMS 1000
55000
GB 40
DAKIKA 3000
SMS 1000
GB TUPU
GB 9 KWA 14K
GB 24 KWA 24K
GB 38 KWA 34K
GB 66 KWA 54K
GB 110 KWA 74K
GB 210 KWA 105K
Cool, thanksAirtel shop ipo mlimani city ndani, nimenunua yangu hapo.
Nenda morocco mlimani azipoHivi siwezi nikapata Airtel shop hapa mlimani mpaka niende Morocco??
Hii sijawahi kuitumia aisee, unaweza ukapima speedtest South Africa?Vodacom Fiber ni one of the best.
The only downside ni coverage kwa maeneo ya nje ya mji. View attachment 2776646
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app