Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hii ni Kweli internet ni huduma ya kijamii , Ila tz imeigeuzwa kuwa ni dili
 
Nenda morocco mlimani azipo
Asante mkuu..
Japo nimechelewa kuona comment yako.
Kwa sasa mlimani zipo.
Nimefika pale kama saa tano na robo mpaka saa tano dakika 50 kila kitu changu kilikua tayari,nimechukua router yangu nikaiwasha pale pale nikaweka ndani ya begi langu,mwendo mdundo mizunguko yangu yote natumia tu kwa raha zangu.

Hapa nimefika unguja, inasoma 4G,
Nime connect na laptop yangu mambo ni murua.

Airtel mambo ni murua.
 
Safi sana mkuu
 
Mwendo mdundoo[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ni lazma kulipia kila mwezi au mpk utakapojisikia?
 
naomba kujua utaratibu wa kuunga na mrejesho wa matumizi kwa unlimited ya ttcl kwa kutumia nanostation ukoje, kama kuna mtu ameshafanikiwa hii.
 

Umechukua ile ya 270k?
 
Mkuu wamehitaji vitu gani kutoka kwako?
 
Mi mpaka saizi sijui chakufanya

Kuna muda nabaki ku stream miziki online ambayo tayari ipo kwenye device yangu.

Labda changamoto nayoiona hapa ni upungufu wa storage ya kutosha.

Device zangu zote zimejaa, nipo kwenye process ya kutafuta 2TB flash
Mimi naangalizia warumi mtandaoni yaani hd kabisa nikikosa kazi nacheza magemu ya mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…