Ukiiacha nyumbani maana yake hutaweza kupata access ya internet kutoka kwenye Router.Kaka nilikuwa nina swali hivi hizi router za airtel matumizi yake yapoje nikiwa na maana ili upate hiyo intanet inatakiwa uibebe popote unapokuwepo au unaweza ukakiacha nyumbani na wewe ukaendelea kupata intanet
Toa yanga weka simbaUkiiacha nyumbani maana yake hutaweza kupata access ya internet kutoka kwenye Router.
Ila device yake ipo simple inabebeka kirahisi kama Yanga na refa
Mkuu mifumo ya satellite kama ile ya starlink pia ni lazima ubebe router?Ukiiacha nyumbani maana yake hutaweza kupata access ya internet kutoka kwenye Router.
Ila device yake ipo simple inabebeka kirahisi kama Yanga na refa
Mifumo sio ishu ishu ni aina ya internet unayopata.Mkuu mifumo ya satellite kama ile ya starlink pia ni lazima ubebe router?
Nimewahi kusoma mahali kwamba mifumo ya internet ya satellite kama vile starlink huwa inakamata hadi kwenye simu za mikononi bila kujalisha ya kwamba upo kwenye movements au laaMifumo sio ishu ishu ni aina ya internet unayopata.
Kwamba unadhani kwasababu Starlink inatumia satelite ndio unaweza ku access popote?
Ndio unaweza ku access popote kwa maana ya kwamba utapohitaji kufanyiwa installation hawahitaji kujua kama network za mitandao zinasumbua eneo lako.
Satelite nyingi zinamfumo wa Dish
Nina rafiki yangu ambaye yeye ni tour guide, huko kwenye mapori yao hakuna mtandao unaoshika ila service ya internet ipo.
Maana yake internet ya hapo imefungwa ya satellite ambayo haitegemei minara ya simu ili ifanye kazi.
Lakini haimaanishi kwamba ukifungiwa nyumbani kwako utaweza kupata huduma ya internet maili 5 kutoka kwako.
Ni kwasababu vile vifaa vinavyokamata hizo wave vimefungwa eneo lako tu la nyumbani, havifungwi kwenye simu au kwenye router.
Ndio mkuuUmechukua ile ya 270k?
Tin numberMkuu wamehitaji vitu gani kutoka kwako?
Kiufupi kwa teknolojia ya simu za sasa haiwezekani....Nimewahi kusoma mahali kwamba mifumo ya internet ya satellite kama vile starlink huwa inakamata hadi kwenye simu za mikononi bila kujalisha ya kwamba upo kwenye movements au laa
Asante mkuuIna bidi ukibebe usipo kibeba haupati internet
Asante mkuuUkiiacha nyumbani maana yake hutaweza kupata access ya internet kutoka kwenye Router.
Ila device yake ipo simple inabebeka kirahisi kama Yanga na refa
Nikiingiza namba inaniambia 'Invalid agent number'KAMA UNATUMIA AIRTEL JARIBU BAHATI YAKO, JIPATIE GB 13 ZA KUPERUZI INTERNET BURE!
Fuata Maelezo Yafuatayo:
[emoji736] Kama Simu yako Ina Laini Mbili, Toa Moja Ibaki Airtel Pekee
[emoji736] Fungua Menu ya Kupiga Simu, Piga *148*91#
[emoji736] Chagua 1 'Activate New Offer'
[emoji736] Weka Agent Number '0785559399'
[emoji736] Subiri Message ya Uthibitisho
Kama Simu yako Ina Vigezo Stahiki Utapewa Ofa yako ya GB 13 za Kuperuzi Internet.
Ikitokea Umepewa Ujumbe 'Ofa hii Haipo Kwenye Simu JANJA hii, Ofa Inapatikana Kwenye Simu Janja MPYA' Basi Sio Bahati yako Mtu wangu, Endelea Kuwa Mpole tu.
Good Day!
Hujailipia miezi mingapi, maana voda hupaswi kuruka miezi[emoji4]
MREJESHOTTCL miyeyusho yao ni ipi mkuu?? network yana speed si zipo poa au??? manake mtaani kwetu jana wamepitisha izo fiber bado tu kuconnect router tuanze kutumia so i think by tomorrow watakuja kumalizia kufunga manake leo sikukuu.
Angalia properties za Router yako kama kuna remotely accessWadau mnisaidie, ivi inawezekana kui manage router(TTCL) kupitia smartphone yangu? Chief-Mkwawa Scars
Uliwapata kama zali la mentaliMREJESHO
Mtaani tupo hewani TTCL FIBER mambo oya oya,nyumba zaidi ya 5 tumefungiwa fiber.
Hawajui haoUliwapata kama zali la mentali
Mtaani kwenu kuna kiongozi gani maarufu?MREJESHO
Mtaani tupo hewani TTCL FIBER mambo oya oya,nyumba zaidi ya 5 tumefungiwa fiber.