Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kaka nilikuwa nina swali hivi hizi router za airtel matumizi yake yapoje nikiwa na maana ili upate hiyo intanet inatakiwa uibebe popote unapokuwepo au unaweza ukakiacha nyumbani na wewe ukaendelea kupata intanet
Ukiiacha nyumbani maana yake hutaweza kupata access ya internet kutoka kwenye Router.

Ila device yake ipo simple inabebeka kirahisi kama Yanga na refa
 
Ukiiacha nyumbani maana yake hutaweza kupata access ya internet kutoka kwenye Router.

Ila device yake ipo simple inabebeka kirahisi kama Yanga na refa
Mkuu mifumo ya satellite kama ile ya starlink pia ni lazima ubebe router?
 
Mkuu mifumo ya satellite kama ile ya starlink pia ni lazima ubebe router?
Mifumo sio ishu ishu ni aina ya internet unayopata.

Kwamba unadhani kwasababu Starlink inatumia satelite ndio unaweza ku access popote?

Ndio unaweza ku access popote kwa maana ya kwamba utapohitaji kufanyiwa installation hawahitaji kujua kama network za mitandao zinasumbua eneo lako.

Satelite nyingi zinamfumo wa Dish

Nina rafiki yangu ambaye yeye ni tour guide, huko kwenye mapori yao hakuna mtandao unaoshika ila service ya internet ipo.

Maana yake internet ya hapo imefungwa ya satellite ambayo haitegemei minara ya simu ili ifanye kazi.

Lakini haimaanishi kwamba ukifungiwa nyumbani kwako utaweza kupata huduma ya internet maili 5 kutoka kwako.

Ni kwasababu vile vifaa vinavyokamata hizo wave vimefungwa eneo lako tu la nyumbani, havifungwi kwenye simu au kwenye router.
 
Nimewahi kusoma mahali kwamba mifumo ya internet ya satellite kama vile starlink huwa inakamata hadi kwenye simu za mikononi bila kujalisha ya kwamba upo kwenye movements au laa
 
Nimewahi kusoma mahali kwamba mifumo ya internet ya satellite kama vile starlink huwa inakamata hadi kwenye simu za mikononi bila kujalisha ya kwamba upo kwenye movements au laa
Kiufupi kwa teknolojia ya simu za sasa haiwezekani....

Ili simu ziweze kutumia satellite internet inabidi ziwe na satelite connectivity.... ni kuanzia iphone 14 ndiyo walijaribu kuweka hiyo teknoloji nayo ktk kipengele cha texts messages tuu..

Kulikuwa na rumors kwamba Samsung S23 ingekuwa na Satellite Connectivity lkn wakaipotezea kwa kigezo kwamba "Satellite the technology isn't ready for prime time yet".

Kwa hiyo kiujumla kwa sasa huwezi tumia satelite bila dish, hivyo ni mpaka uwepo mahali palipo na dish ndipo uweze kutumia...
 
Hivyo hizi movable router bado ziko user friendly kiaina, unamove nayo tuu kila unakotaka kwenda, kama kuna umuhimu wa kufanya hivyo...
 
KAMA UNATUMIA AIRTEL JARIBU BAHATI YAKO, JIPATIE GB 13 ZA KUPERUZI INTERNET BURE!

Fuata Maelezo Yafuatayo:

[emoji736] Kama Simu yako Ina Laini Mbili, Toa Moja Ibaki Airtel Pekee
[emoji736] Fungua Menu ya Kupiga Simu, Piga *148*91#
[emoji736] Chagua 1 'Activate New Offer'
[emoji736] Weka Agent Number '0785559399'
[emoji736] Subiri Message ya Uthibitisho

Kama Simu yako Ina Vigezo Stahiki Utapewa Ofa yako ya GB 13 za Kuperuzi Internet.

Ikitokea Umepewa Ujumbe 'Ofa hii Haipo Kwenye Simu JANJA hii, Ofa Inapatikana Kwenye Simu Janja MPYA' Basi Sio Bahati yako Mtu wangu, Endelea Kuwa Mpole tu.

Good Day!
Nikiingiza namba inaniambia 'Invalid agent number'
 
Hujailipia miezi mingapi, maana voda hupaswi kuruka miezi[emoji4]

Nimeichukua ikiwa haina line, Hizi router si unaweka tu line ya voda yenye bando kwisha kazi. Naongelea kwa mwenye line ya supa kasi na anataka router ndo itamfaa ni plug and surf tu
 
TTCL miyeyusho yao ni ipi mkuu?? network yana speed si zipo poa au??? manake mtaani kwetu jana wamepitisha izo fiber bado tu kuconnect router tuanze kutumia so i think by tomorrow watakuja kumalizia kufunga manake leo sikukuu.
MREJESHO
Mtaani tupo hewani TTCL FIBER mambo oya oya,nyumba zaidi ya 5 tumefungiwa fiber.
 
Back
Top Bottom