Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

tofaut ya fiber na copper ni ipi mkuu!!??
gharama zikoje kiongozi, naomba kujua japo najua survey itatoa majibu tofaut toka eneo moja na jingine lakin natafuta kupata ulinganifu tu.
Copper ni ule mfumo wa zamani wa simu za mezani, zinakua waya mbili za shaba zinapita kwenye nguzo za simu. Internet yake ipo slow ila bei rahisi speed yake ni

4mbps kwa 25,000
8mps kwa 50,000
12mbps kwa 70/75 hivi.

Hii adls haitoboi zaidi ya 20mbps hapo ndio uwezo wale ulipoishia kutokana na miundombinu ya kizamani ya Analog.

Fiber yenyewe ni ya kisasa mpya, waya wake mmoja unapitisha GB za kutosha, hivyo kuweza kuhudumia watu wengi kwa speed kubwa.

Kwa ttcl fiber inaanzia 55,000 unapata 20mbps download speed, kutokana na uwezo wako wana huduma hadi za GBps.

Copper ina coverage kubwa hasa miji ya zamani hadi wilayani ipo assume hawajaiba hizo waya za nguzo za simu, Fiber ndio inaanza kutapakaa.
 
asante kwa ufafanuzi mzuri, nimekupata kiongozi.
 
hii ttcl fiber ya 55,000/= ina gharama zipi za ziada, mwanzon unapotaka kujiunga!?!?


naomba kwa mwenye uzoefu anipe majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…