Kabisa aisee, unabaki kustream tu online. Hakika unlimited ndo mpango mzima
Unatumia internet mpaka unakosa cha kufanya sasa.![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aisee, unabaki kustream tu online. Hakika unlimited ndo mpango mzima
Unatumia internet mpaka unakosa cha kufanya sasa.![]()
Ndivyo inavyopaswa...Unatumia internet mpaka unakosa cha kufanya sasa.
tofaut ya fiber na copper ni ipi mkuu!!??TTCL fiber ama copper?
gharama zikoje kiongozi, naomba kujua japo najua survey itatoa majibu tofaut toka eneo moja na jingine lakin natafuta kupata ulinganifu tu.TTCL fiber mkuu
tofaut ya fiber na copper ni ipi mkuu!!??
Copper ni ule mfumo wa zamani wa simu za mezani, zinakua waya mbili za shaba zinapita kwenye nguzo za simu. Internet yake ipo slow ila bei rahisi speed yake nigharama zikoje kiongozi, naomba kujua japo najua survey itatoa majibu tofaut toka eneo moja na jingine lakin natafuta kupata ulinganifu tu.
asante kwa ufafanuzi mzuri, nimekupata kiongozi.Copper ni ule mfumo wa zamani wa simu za mezani, zinakua waya mbili za shaba zinapita kwenye nguzo za simu. Internet yake ipo slow ila bei rahisi speed yake ni
4mbps kwa 25,000
8mps kwa 50,000
12mbps kwa 70/75 hivi.
Hii adls haitoboi zaidi ya 20mbps hapo ndio uwezo wale ulipoishia kutokana na miundombinu ya kizamani ya Analog.
Fiber yenyewe ni ya kisasa mpya, waya wake mmoja unapitisha GB za kutosha, hivyo kuweza kuhudumia watu wengi kwa speed kubwa.
Kwa ttcl fiber inaanzia 55,000 unapata 20mbps download speed, kutokana na uwezo wako wana huduma hadi za GBps.
Copper ina coverage kubwa hasa miji ya zamani hadi wilayani ipo assume hawajaiba hizo waya za nguzo za simu, Fiber ndio inaanza kutapakaa.
hii ttcl fiber ya 55,000/= ina gharama zipi za ziada, mwanzon unapotaka kujiunga!?!?Copper ni ule mfumo wa zamani wa simu za mezani, zinakua waya mbili za shaba zinapita kwenye nguzo za simu. Internet yake ipo slow ila bei rahisi speed yake ni
4mbps kwa 25,000
8mps kwa 50,000
12mbps kwa 70/75 hivi.
Hii adls haitoboi zaidi ya 20mbps hapo ndio uwezo wale ulipoishia kutokana na miundombinu ya kizamani ya Analog.
Fiber yenyewe ni ya kisasa mpya, waya wake mmoja unapitisha GB za kutosha, hivyo kuweza kuhudumia watu wengi kwa speed kubwa.
Kwa ttcl fiber inaanzia 55,000 unapata 20mbps download speed, kutokana na uwezo wako wana huduma hadi za GBps.
Copper ina coverage kubwa hasa miji ya zamani hadi wilayani ipo assume hawajaiba hizo waya za nguzo za simu, Fiber ndio inaanza kutapakaa.
Hakuna gharama zozote, its just siku ukiamua hutaki tena huduma yao watakuja kuchukua router yao.hii ttcl fiber ya 55,000/= ina gharama zipi za ziada, mwanzon unapotaka kujiunga!?!?
naomba kwa mwenye uzoefu anipe majibu.
kuna mfanyakaz wao alinambia gharama atanieleza siku akija kufanya survey, ndomana nimeuliza ili nipate uhakika.Hakuna gharama zozote, its just siku ukiamua hutaki tena huduma yao watakuja kuchukua router yao.
pia vipi kuhusu unlimited kwa njia ya nanostation!!!Hakuna gharama zozote, its just siku ukiamua hutaki tena huduma yao watakuja kuchukua router yao.
Hio ni kwa wale ambao Fiber haijapita.kuna mfanyakaz wao alinambia gharama atanieleza siku akija kufanya survey, ndomana nimeuliza ili nipate uhakika.
Ndo ipi hii? Siijuipia vipi kuhusu unlimited kwa njia ya nanostation!!!
Kama una laini ya super kasi kuna zile mi-fi voda wanakuuzia mimi kuna jamaa yangu alichukua hii kwa elfu 85 na anadai inapiga kazi safii kabisa kwa kifurushi cha supa kasi ya 50kAaah weeeeh[emoji38][emoji38][emoji38]
Unatuona mafala eeh?
Yani ununue router kisha ununue kifurushi cha kawaida?
Wazee starlink inatumika fresh bongo una agiza kenya hapa unafunga unakula raha fresh kama unavyo ona inavyo tumika dishi la canal
Ninayo hiyo router ya voda supakasi, niliichukua ikiwa mpya ipo full.. kama hujapata njoo PM nikupe kwa bei ya hasara
Kabisa aisee, unabaki kustream tu online. Hakika unlimited ndo mpango mzima
Ni Voda hiyo mkuuTigo wameleta unlimited!? [emoji102][emoji15]
hyo airtel yko ya 10mbps unlimited unaweza stream 4k videos YouTube bila shida?[emoji91]
Huwezi stream 4k na 10mbpshyo airtel yko ya 10mbps unlimited unaweza stream 4k videos YouTube bila shida?
| Video Resolution | Recommended sustained speed |
|---|---|
| 4K UHD | 20 Mbps |
| HD 1080p | 5 Mbps |
| HD 720p | 2.5 Mbps |
| SD 480p | 1.1 Mbps |
| SD 360p | 0.7 Mbps |