Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TTCL ndio ana Mkonga, Wengine pia wananunua TTCL.

Upo sahihi to a degree kwa sasa Airtel ina operate mkongo wake unaoitwa 2Africa. Ttcl inasimamia ule wa zamani wa SEACOM. Tigo kwa kununua Zantel wanaooperate (pamoja na TTCL kwa kuwa nao ni investors) mkongo wa Eastern African Submarine Cable System (EASSy).

Japo kwa sasa wanaweza kuwa wanatumia huo wa SEACOM lakini siku zinavyokwenda wakisambaza wa kwao naona wataachana nao.



 
Mkuu wewe unaongelea undersea Cable, Mkonga ni Fiber ambazo zimetandazwa Nchi nzima zinaunganisha na Nchi jirani na Bahari.


Ramani ya Mkonga wa Taifa.

Mitandao ya Simu yote inatumia Mkonga, wanaconnect fiber zao na huo Mkonga kupunguza gharama. Pia wao wanawekeza pia kwenye hii project kutandaza Fiber maeneo ambayo Mkonga haujafika.
 
Dah, hizi options zinakatisha na tamaa kabisa
 
Sasa mkuu kwa nini haya makampuni ya simu kama vile Airtel,Voda,Tigo,etc hawatoi huduma ya fiber kama vile wanavyofanya TTCL?
 
Gb 6.5 Kwa buku 9
Gb 5.5 buku 7
Gb 8 Kwa buku 12000
[emoji115][emoji115][emoji115]

Tigo tu na Kwa muda WA wiki 2
 

Chief naomba msaada wako hapa,nina smart tv android huwa naunganisha na hotspot ya iphone natumia Airtel 4G changamoto internet ipo slowa sana japo n 4G nashindwa hata ku stream maana contents zinakwama kwama kla saa kama jana mechi ya Arsenal vs Chelsea nlishindwa kuangalia..nitumie mbinu gani ku solve hii changamoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…