Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Kaka mwanafunzi wako kaja ulikimbilia wap tena😃😃😃😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mwanafunzi wako kaja ulikimbilia wap tena😃😃😃😂
TTCL ndio ana Mkonga, Wengine pia wananunua TTCL.Hata hizi unlimited za akina Airtel anakuja kuzifungia ili kulinda soko la TTCL
Nilikuwa nadownload movie na series kakaKaka mwanafunzi wako kaja ulikimbilia wap tena😃😃😃
Exactly ndo maana ukipima speed ya mtandao wa airtel inasoma TTCLTTCL ndio ana Mkonga, Wengine pia wananunua TTCL.
Karibu mvivyo 🤣🤣uje basi uwe unaangalia kama mimi😃😃😃
DepalKaribu mvivyo 🤣🤣
Poa uko fresh dadaAbee
Mambo
TTCL ndio ana Mkonga, Wengine pia wananunua TTCL.
thechanzo.com
Mkuu wewe unaongelea undersea Cable, Mkonga ni Fiber ambazo zimetandazwa Nchi nzima zinaunganisha na Nchi jirani na Bahari.Upo sahihi to a degree kwa sasa Airtel ina operate mkongo wake unaoitwa 2Africa. Ttcl inasimamia ule wa zamani wa SEACOM. Tigo kwa kununua Zantel wanaooperate mkongo wa Eastern African Submarine Cable System (EASSy).
Japo kwa sasa wanaweza kuwa wanatumia huo wa SEACOM lakini siku zinavyokwenda wakisambaza wa kwao naona wataachana nao.
![]()
Launch of 2Africa Subsea Cable Makes Digital Tanzania Dream Closer Than Ever - The Chanzo
Tanzania now has three active subsea cables serving it, with others being the Eastern African Submarine Cable System (EASSy) and SEACOM.thechanzo.com
![]()
Ampion and Plutos Ventures launch new venture to invest in African startups
Africa-focused Ampion and Berlin-based Plutos Ventures Holding have announced the founding of Ampion Ventures to support African startups. The goal of the newfurtherafrica.com
Sawaa kakaNilikuwa nadownload movie na series kaka
😃😃😃Asante sana Rafiki 😋Karibu mvivyo 🤣🤣
Kuja kufunga walimwambia jamaa laki 8 na 85Mimi nipo kinondoni...kuna hawa wanajiita netsolotion 20mbps unapata kwa 59000 kwa mwezi na ni unlimited but wakati wa kuanza inatakiwa ulipie at least miezi 3 installation ni free
Bora utumie ya airtel tuKuja kufunga walimwambia jamaa laki 8 na 85
Akabaki anashangaa
Dah, hizi options zinakatisha na tamaa kabisaFiber ya TTCL ni free hakuna gharama zozote
Labda utoe tu kama rushwa ili kuharakisha mchakato maana tunajua jinsi wanavyo sumbua.
Awali gharama zilikuwepo Ila 2021 walikuja na policy mpya ya #faibamlangonimwako kusambaza internet kila kona ya Tanzania bureee.
TTCL wakaingia makubaliano na TANESCO ya kushea miundombinu ili kuwafikia watu wengi kupitia nguzo za TANESCO.
Ila mpaka uipate hiyo service yao kuna mambo ya kuzingatia
1. Ni eidha uwe unatoka mitaa ambayo tayari kuna coverage yao.
2. Mitaa unayotokea kuwe kuna kiongozi mkubwa maarufu au
3. Au uende ofisini kwao pengine sura yako ikawa inafanana na Kigogo yeyote mkubwa na wewe ukanufaika kwa hilo.
Sasa mkuu kwa nini haya makampuni ya simu kama vile Airtel,Voda,Tigo,etc hawatoi huduma ya fiber kama vile wanavyofanya TTCL?Mkuu wewe unaongelea undersea Cable, Mkonga ni Fiber ambazo zimetandazwa Nchi nzima zinaunganisha na Nchi jirani na Bahari.
View attachment 2788513
Ramani ya Mkonga wa Taifa.
Mitandao ya Simu yote inatumia Mkonga, wanaconnect fiber zao na huo Mkonga kupunguza gharama. Pia wao wanawekeza pia kwenye hii project kutandaza Fiber maeneo ambayo Mkonga haujafika.
Ilikuaje hadi akapigwa hivo mzee?? Mbona mimi nilifungiwa free kabisa nililipa na kesho yake nikaja fungiwa tena nipo mbali na nguzo yaoKuja kufunga walimwambia jamaa laki 8 na 85
Akabaki anashangaa
Naitaji icho cha GN 5.5Gb 6.5 Kwa buku 9
Gb 5.5 buku 7
Gb 8 Kwa buku 12000
[emoji115][emoji115][emoji115]
Tigo tu na Kwa muda WA wiki 2
Mkuu wewe unaongelea undersea Cable, Mkonga ni Fiber ambazo zimetandazwa Nchi nzima zinaunganisha na Nchi jirani na Bahari.
View attachment 2788513
Ramani ya Mkonga wa Taifa.
Mitandao ya Simu yote inatumia Mkonga, wanaconnect fiber zao na huo Mkonga kupunguza gharama. Pia wao wanawekeza pia kwenye hii project kutandaza Fiber maeneo ambayo Mkonga haujafika.