Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hii nikipata napiga chini kwanza PS halafu naanza kufownload games upya kama majaribio.

Unlimited, Unlimited kweli au kuna kipimo. [emoji23]
Ina maana mpaka sasa kuna watu hamuamini kweli hii ni unlimited?🙂

Na tunaomba mbaki hivyohivyo, msije mkasababisha jam internet ikaanza kuketa mushkeli..

Hapa ni matumizi ya toka tarehe 2 mwezi huu...

 
Ina maana mpaka sasa kuna watu hamuamini kweli hii ni unlimited?[emoji846]

Na tunaomba mbaki hivyohivyo, msije mkasababisha jam internet ikaanza kuketa mushkeli..

Hapa ni matumizi ya toka tarehe 2 mwezi huu...

View attachment 2789653

Hamna natumia supakasi ila naona imekuwa ya hovyo sana.
Majuzi juzi nilitest kwenye simu speed ya Airtel nikaona inafika 45Mbps. Ndio niko najishauri hapa nimeomba tena TTCL nimeona wametengeza portal mpya sa sijui watatuacha mataa kama kwenye ile portal iliyopita.
 
Mimi niliuliza maswali yote hayo nikaambiwa kuwa hata nikiungwa katika enterprises bado mwisho wa mwezi nitaweza kununua cha 70K

Na sikujubiwa hivyo na mhudumu mmoja.

Mwanzo nilimuuliza team leader wa kwanza akaniambia option hiyo haipo. Ukisajili kama mfanyabiashara utakuwa unanunua kifurushi kuanzia 110K

Aliponiambia hivyo nikaghairi kuchukua Router kwasababu niliona 110K kila mwezi ni nyingi.

Lakini milipomcheki team leader mwingine alinihakikishia kuwa nitaweza kununua kifurushi chochote nachotaka mimi.

Aliniambia wapo watu aliowasajilia kupitia leseni ya biashara na bado wanaendelea kununua kifurushi cha 70K.

Nikashawishika nikalipia Router kwa 110K nikijua mwisho wa mwezi nitakuwa na option ya kununua package ya 70K

Wakati naendelea kutumia hiyo Router nikapigiwa simu na yule team leader wa kwanza akiniambia yuko tayari kuniletea Router kwasababu ishakuwa confirmed kuwa kifurushi cha 70K kinanunulika.

So mpaka hapo nikawa nina confidence zote kuwa mchongo ni uhakika. Lakini haijawa hivyo.
 
Ina maana mpaka sasa kuna watu hamuamini kweli hii ni unlimited?🙂

Na tunaomba mbaki hivyohivyo, msije mkasababisha jam internet ikaanza kuketa mushkeli..

Hapa ni matumizi ya toka tarehe 2 mwezi huu...

View attachment 2789653

Mbona network ipo down sana?

Search hapo kupata Strong signal
 
Kama mna mkataba, mkiwa na mtu ndani huko na wakili mzuri tayari hela hiyo.
 
I called them na wanasema after 3 months ya matumizi ya hicho cha 110k ndio unaweza ku-change to 70k package
 
Kwani ile day 1 kwenye kulipa package zingine zilionekana? Na hii baada ya kuisha package za juu yake zinaonekana au imepotea tu hile ya 70k?
 
Ukisema portal unamaana gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…