Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Ina maana mpaka sasa kuna watu hamuamini kweli hii ni unlimited?🙂Hii nikipata napiga chini kwanza PS halafu naanza kufownload games upya kama majaribio.
Unlimited, Unlimited kweli au kuna kipimo. [emoji23]
Na tunaomba mbaki hivyohivyo, msije mkasababisha jam internet ikaanza kuketa mushkeli..
Hapa ni matumizi ya toka tarehe 2 mwezi huu...