Nishawahi kuona jamaa amepost kwenye status ikionesha mteja aki unbox hiyo Router tena 5G na moja ya vitu ambavyo vilikuwemo kwenye box ilikuwa ni pamoja na Power bankRouter za 5g kutoka boda hazina power bank labda zile za 4g
Route ya laki 6 na ya laki 2 na nusu almost fundamental functions zinafananaVoda wana Target wafanyabiashara, bei ni hio hio toka zamani, sema tu uwe na Tin na leseni.
Kweli bana hawa jamaa wanafanya comedy kwenye biashara.Router za 5g kutoka boda hazina power bank labda zile za 4g
Kwa biashara zipo router za maana unakuta inaconect watu hata 300 unalipia kifurushi 400mbps ama 1GBps ina make sense ukinunua hio router.Route ya laki 6 na ya laki 2 na nusu almost fundamental functions zinafanana
Nipe namba nikuunganishe na jamaaUmepigaje hapo,,,tupe connection mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya maisha haya we yaache tu yani hapa tulipofikia panatisha sana
Yani bando la 3GB kwa buku 5 limeitwa connection.
Hawa ndomaana niliwakimbia umeme ukikatika router zao zinakatika pia
Baada ya kuwakimbia ukahamia wapi?Hawa ndomaana niliwakimbia umeme ukikatika router zao zinakatika pia
Kwa hiyo Router yao umewarudishia?Mie nilikuwa natumia ila walivokuja Airtel na hii huduma wakaja na vifurushi vitamu vya bei nafuuu nikaungana nao paka sasa nipo zangu Airtel napata utamu
Nilisitisha mkataba nao na nikala buyuKwa hiyo Router yao umewarudishia?
Au ndio umekula buyu?
Nipo Airtel napata utamuBaada ya kuwakimbia ukahamia wapi?
Tupe connection mkuu!Mimi nimemtafuta MD wao twitter saivi nimepata line yangu bila kununua router napiga mzigo vizuri tu
View attachment 2836088
Viongozi speed ya starlink hii hapa ni kwa jamaa yangu kenya
Kwenye network bar sioni alama ya WiFi naona cellular dataView attachment 2836088
Viongozi speed ya starlink hii hapa ni kwa jamaa yangu kenya
Nimewasha vpn kakaKwenye network bar sioni alama ya WiFi naona cellular data
Hapa tunatumia zaidi ya watu 700 hii ndo speed yake mie nimeifosi na vpnSasa hapo tunapataje kipimo sahihi cha speed?
Sasa hapo tunapataje kipimo sahihi cha speed?