Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Router za 5g kutoka boda hazina power bank labda zile za 4g
Nishawahi kuona jamaa amepost kwenye status ikionesha mteja aki unbox hiyo Router tena 5G na moja ya vitu ambavyo vilikuwemo kwenye box ilikuwa ni pamoja na Power bank

Nimemuuliza swali tena kama msisitizo ngoja akijibu hapa nitaleta mrejesho.

Screenshot_20231206-224927.png
 
Route ya laki 6 na ya laki 2 na nusu almost fundamental functions zinafanana
Kwa biashara zipo router za maana unakuta inaconect watu hata 300 unalipia kifurushi 400mbps ama 1GBps ina make sense ukinunua hio router.

Ila nyumbani mwenzangu na Mimi unakomaa na 10mbps Yako kununua router ya laki 6 Uongo.
 
Back
Top Bottom