Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sjawahi kutana na netflix mod inayokaribia uwezo na ubora wa netflix halisi, hiyo yako inafika uwezonwa halisi?
Labda kwenye ishu ya ku download tu ndio unaweza kukutana na usumbufu lakini streaming ni msololo tu

Nilikuwa na mod moja ambayo nilikuwa na download fresh tu saizi nishasahau wapi nilipoipatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…