Smart yako ni ya android au Smart ya kawaida?Nilimaanisha ya netflix ya smart tv sio ya simu
Ya android mkuuSmart yako ni ya android au Smart ya kawaida?
Kama internet ipo vyema na unlimited tumia stremio, inakula bando ila haina longo longo kama unajua kudeal na seeder.Ya android mkuu
Bro hii? Vipi inaruhusu downloads na je inapata updates za movies mpya kwa wakati?Kama internet ipo vyema na unlimited tumia stremio, inakula bando ila haina longo longo kama unajua kudeal na seeder.
Yap, hio ni kama shell, ukishadownload unaweka add-ons, maarufu inaitwa torrentio, store ya add-ons ipo humo humo.Bro hii? Vipi inaruhusu downloads na je inapata updates za movies mpya kwa wakati?
View attachment 2838538
Shukrani ntakua na share na 1DM+ hii kiboko sana kudownload files hadi za torrents ni kama IDM ya PC tu..Yap, hio ni kama shell, ukishadownload unaweka add-ons, maarufu inaitwa torrentio, store ya add-ons ipo humo humo.
Kudownload inawezekana ila nafkiri mpaka ubadili setting, pia unaweza share video Yako na apps nyengine, waweza share na app ya kudownload ili udownload.
Rules ni zile zile kama torrent, movie ama series mpaka iwe na seeders wa kutosha.
Install Add-ons hicho kipengele hapo nafeli nikienda kule nakuta add-ons nyingi sizielewi au ipi ina support kustream au kudownload afu Torrento haipo.Yap, hio ni kama shell, ukishadownload unaweka add-ons, maarufu inaitwa torrentio, store ya add-ons ipo humo humo.
Kudownload inawezekana ila nafkiri mpaka ubadili setting, pia unaweza share video Yako na apps nyengine, waweza share na app ya kudownload ili udownload.
Rules ni zile zile kama torrent, movie ama series mpaka iwe na seeders wa kutosha.
Mkuu samahani unaweza elekeza jinsi ya kudeal nayo hii stremio kama hutojali?Kama internet ipo vyema na unlimited tumia stremio, inakula bando ila haina longo longo kama unajua kudeal na seeder.
Aiseee shukrani sana nmefanikiwa kuinstall Add-on ya torrentio kwa njia tofauti na inafunction...Yap, hio ni kama shell, ukishadownload unaweka add-ons, maarufu inaitwa torrentio, store ya add-ons ipo humo humo.
Kudownload inawezekana ila nafkiri mpaka ubadili setting, pia unaweza share video Yako na apps nyengine, waweza share na app ya kudownload ili udownload.
Rules ni zile zile kama torrent, movie ama series mpaka iwe na seeders wa kutosha.
Nimejaribu kulogin kama anonymous sijaziona torrentio ila nimelogin na account yangu nimeiona,Install Add-ons hicho kipengele hapo nafeli nikienda kule nakuta add-ons nyingi sizielewi au ipi ina support kustream au kudownload afu Torrento haipo. View attachment 2838555
Nmetengeneza account kabisa kwa gmail ila haikuja.. by the way nmefanikisha mpaka sasa. Ahsante.Nimejaribu kulogin kama anonymous sijaziona torrentio ila nimelogin na account yangu nimeiona,
1. Jaribu kutengeneza account search Tena.
2. Tumia account Yako na stremio ya PC download add-ons zako automatic zita appear kwenye simu
View attachment 2838560
Stremio ni app ya kuangalizia movies, ili kubypass Sheria za Google/Apple na makampuni mengine wanaweka tu app yao ambayo Haina kitu store halafu wewe unaweka mwenyewe add-ons.Mkuu samahani unaweza elekeza jinsi ya kudeal nayo hii stremio kama hutojali?
Njia gani mkuu hebu tuelekezeeAiseee shukrani sana nmefanikiwa kuinstall Add-on ya torrentio kwa njia tofauti na inafunction...
View attachment 2838559
Shukrani chiefStremio ni app ya kuangalizia movies, ili kubypass Sheria za Google/Apple na makampuni mengine wanaweka tu app yao ambayo Haina kitu store halafu wewe unaweka mwenyewe add-ons.
So step ya kwanza unadownload hio app ya stremio play store. Inaweza kuwa simu ama hata tv.
Step ya pili tengeneza account ili usipoteze data zako na kuanza upya baadae.
Step ya tatu nenda kwenye add-ons tab download add-ons unazotaka maarufu ni hio torrentio.
Ukishaweka add-ons search movie ama series itakuja, then italist uploader kibao kama yify, galaxy torrent na wengineo we chagua ambayo internet speed Yako inamudu, mfano nikiwa natumia slow internet kama ttcl copper nachagua movie zile za mb Chini ya 700 ila kama una fiber Mbps 10 ama zaidi unachagua full HD zaidi ya 1GB kama una zaidi ya 20mbps hata 4K unaangalia.
Cha muhimu chagua video yenye seeder wengi most of time inakua ya kwanza kwenye quality husika.
Ukianza kuitumia utaielewa taratibu.
Mkuu, hebu tupe shortcut uliyotumia kuweka torrentio..Nmetengeneza account kabisa kwa gmail ila haikuja.. by the way nmefanikisha mpaka sasa. Ahsante.
View attachment 2838563View attachment 2838564
Kimsingi router zao ziko njema kinoma.... Wengi wetu tuko maeneo yenye 4G ila speed haipungui utadhani ni dedicated...Chagua moja kunyoa au kusuka...wazee hawa airtel ni moto wa mbaliiii.huku nilipo hakuna 5g kuna 4g tu lakini speed yake ya 30mbps kwa fiber ya 20mbps ...jibu ni kwamba huyu fiber akasomee mbaliii sasa mnaopata 5g sijui mnaenjoy vipi aiseee kama mimi tu wa 4g nafurahia maisha nyiee mtakuwa mmeyapatia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960]View attachment 2838418
Yaani wamecheza kama pele...ila naomba wasije lewa sifa tu mambo yakabadilikaKimsingi router zao ziko njema kinoma.... Wengi wetu tuko maeneo yenye 4G ila speed haipungui utadhani ni dedicated...
Kwangu sometimes mnara unasoma red au unakuwa haupo kabisa lkn speed iko palepale..
Unless serikali iingilie, ila Bei zitazidi kushuka.Yaani wamecheza kama pele...ila naomba wasije lewa sifa tu mambo yakabadilika
Poa mkuu... Kama tayari umeshaweka hiyo app fanya kwenda kwa browser copy na paste search [emoji361] hii link chiniMkuu, hebu tupe shortcut uliyotumia kuweka torrentio..
Shukrani sana...Poa mkuu... Kama tayari umeshaweka hiyo app fanya kwenda kwa browser copy na paste search [emoji361] hii link chini
Click hapo Install Add-on itakua installed huko kwa Stremio. View attachment 2838825