Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hivi jamani hichi kifurushi cha ttcl tv cha 8000 kinakuwaje wale walijiunga? Je unapewa gb au mwendo wa kustream mwezi muzima
 
yangu ni xx44-xxxxxx

Miye Voda nikipiga hiyo *149*03# mpaka jinalangu sikuizi linakuja wananiambia nichague data au dakika. Kwenye data napata Reasonable offer ya 1000 na mb 1020 siku 15 na 2000 mb 1500 kwa siku saba au 1500 mb 1200 kwa siku saba.
 
mbona kama wamepunguza vifurushi mkuu? vifurushi vya zamani unapata vyote kwa pamoja dakika, sms na GB ila vya sasa utachagua baina yao na ukifanya vyote ujue kwengine kutapungua.
Nlvowaelewa voda n kuwa vyte vnapatikana humo humo. Ukinunua units za 1000 utapata mbs dakika humo humo ndo mana ya kupunduka pinduka
 
Nlvowaelewa voda n kuwa vyte vnapatikana humo humo. Ukinunua units za 1000 utapata mbs dakika humo humo ndo mana ya kupunduka pinduka
yap ila piga mahesabu vizuri

masaa 24

-pindua pindua unapata units 1000 kwa 1000

-kawaida unapata mb 500, dakika 55 kwa 500 means kwa 1000 utapata 1GB na dakika 110,

tu reverse dakika 110 na 1GB kwenda units

dakika 110 ni units 110 na 1GB ni units 1000, hivyo jumla units 1110

so zamani ulikuwa unapata kingi na pinduapindua wamepunguza vifurushi, ila kijanja.
 
Voda napata 5gb kwa 2000 kwa wiki nzima
 


Doh yaan maeneo ya mtongani 4g ya TTCL ndo iko hvi
 
Mkuu anaetaka laini za chuo ninazo bei maelewano na umbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…