Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Airtel namaanisha ulitumia leseni au ulitoa 270K?
Nilitumia tin na kitambulisho cha kazi so wakaniwekea cha busness kile cha 110k aaah 270k usawa huu ni kuchezea pesa mkuu wakati hii ni aternative tu...me na deal zangu na fiber...kikiisha kifurushi na hii router naiunga na router ya fiber zisaidiane kupiga kazi..
 
Basi utalazimika kulipia 110K kila mwezi maana cha 70K hakipo kwa watu waliotumia leseni
 
Upo Dar au??
 
Hivi nisipolipia watanitafuta? Manaake me lengo langu ni hiyo router ni share na router ya fiber...but yuule dada alisema eti baada ya miez mitatu nitaweza kulipia cha 70k.kwenu ipoje huko?
Hakuna kitu kama hicho

Nina mwanangu tulichukua pamoja siku moja. Wote tulikuwa tumetoa 110K tukiamini kuwa mwezi ujao tutaweza kulipia package ya 70K

Lakini kilipoisha tukajaribu kununua kwa bahati mbaya kwenye menu hakukuwa na kifurushi cha 70K.

Mwanangu akaona dusko kutoa 110K ikabidi asilipie. Anaenda mwezi wa pili huu hajalipia na hakuna zengwe lolote kutoka Airtel
 
Naomba kuuliza wadau ivi hizi Router za 5G ZA Airtel zinapiga kazi mikoani au ni kwa Dar tu??? Kuna jamaa yangu yupo Ifakara anataka kuchukua... Scars Chief-Mkwawa Lax Charles kilian
So far unaweza ipeleka maeneo mengine yenye Airtel 4G maana ina 5G na 4G, sijajua 3G wenye Router wanaweza tusaidia
 
Hapa mambo ya king'amuzi unasahau kabisa...

Taarifa ya habari unaingia youtube live ya itv...

Mpira unaingia yalla shoot au unadownlaod yacine tv unaendelea kustream kwa hd kabisa✅

Kimsingi dunia ya ving'amuzi inakaribia kufika kikoma...
Huu ndio ukweli,

Tangu nianze kutumia Unlimited Airtel, DS*V (kingamuzi) hakitumiki, Nimeacha kukilipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…