Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mkuu cha 70k kwa kila mwezi kinahitaji uwe na vigezo gani?Basi utalazimika kulipia 110K kila mwezi maana cha 70K hakipo kwa watu waliotumia leseni
Iko sawa,Samahani wakuu hivi leo Airtel internet haiko sawa?? Au ndio visa vimeanza
So far unaweza ipeleka maeneo mengine yenye Airtel 4G maana ina 5G na 4G, sijajua 3G wenye Router wanaweza tusaidia
Mkuu cha 70k kwa kila mwezi kinahitaji uwe na vigezo gani?
Mkuu hakuna buffering kabisa na picha kunatanata kwa sababu ya poor network?Huu ndio ukweli,
Tangu nianze kutumia Unlimited Airtel, DS*V (kingamuzi) hakitumiki, Nimeacha kukilipia.
Hapana, sijawahi kuwa na hili tatizo.Mkuu hakuna buffering kabisa na picha kunatanata kwa sababu ya poor network?
Hii nzuri, njirooView attachment 2840203
Ndio waweza kuchagua isome network mode yeyote kati ya hizo.
Hivyo hata maeneo yasiyo na 4G /5G basi atatumia 3G
Shukran mkuu
- Tin Number
- # ya NIDA
Na unatumia kile kifurushi cha 10mbs mkuu?Hapana, sijawahi kuwa na hili tatizo.
Premium channels like Bloomberg huwa unazipata vipi kama umeacha kulipia...!?Huu ndio ukweli,
Tangu nianze kutumia Unlimited Airtel, DS*V (kingamuzi) hakitumiki, Nimeacha kukilipia.
Kwamba hawezi kuja Dar akafanya usajili kila kitu alafu akaenda kutumia Ifakara??Kwa sasa ni dar tu mikoani bado
Yah nimemkumbukaKuna yule jamaa wa zenji aliifata dar akaenda nayo
Asante mkuuUnaichukua tu popote pale unaitumia
ShukraniSo far unaweza ipeleka maeneo mengine yenye Airtel 4G maana ina 5G na 4G, sijajua 3G wenye Router wanaweza tusaidia
Imekaa poa sana naifanyia kazi
Haiwezekani unachoweza kutumia ni ile mifi ile ya 4g tuKwamba hawezi kuja Dar akafanya usajili kila kitu alafu akaenda kutumia Ifakara??
Vyema pia wasiliana nae kupata uhakika kama Bado inapiga kazi.Yah nimemkumbuka
Naona wadau Chief-Mkwawa Mwl.RCT wamesema inawezekana kabisa ishu ni kucheza na settings za network modeHaiwezekani unachoweza kutumia ni ile mifi ile ya 4g tu
Yes, ninayo inapiga kazi freshKuna yule jamaa wa zenji aliifata dar akaenda nayo
Nimemcheki Ambition plus apa nasuburi feedback yakeVyema pia wasiliana nae kupata uhakika kama Bado inapiga kazi.