Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuna bwana mmoja ameniambia naweza kupata kwa 70000 na ikawa na ofa ya mwezi mmoja na baada ya hapo nitalipia 55000 kifurushi cha 13mb/s. Unlimited

Anasema ni offer,ngoja nimfatilie.Ni za airtel 5G
Malalamiko ya wadau unayaona lakini?


Sema yule wakala alosema ile 200k imetolewa wafanyakazi wa namna ile hawafai kabisa ofisini
 
Kuna bwana mmoja ameniambia naweza kupata kwa 70000 na ikawa na ofa ya mwezi mmoja na baada ya hapo nitalipia 55000 kifurushi cha 13mb/s. Unlimited

Anasema ni offer,ngoja nimfatilie.Ni za airtel 5G
Hawa ni wakuwanao makini sana wanaweza kukupa ahadi ya uongo ili mradi tu wakuunge

Maana wao wanajali kupata commission yao tu

Wanajua wakikuambia utalipia 55,000 mwisho wa mwezi halafu ikafika huo muda na kifurushi hukioni watakuja na excuse nyingine kuwa kampuni limebadilisha mfumo.

Na kwakua tayari umeonjeshwa ladha ya unlimited utajikuta huna choice zaidi ya kulipia tena
 
Bado tu mnakomaa na TTCL?

Watu mna roho ngumu
Niliitaka huduma yao kwa matumizi ya nyumbani kwa sababu pia ni affordable. Lakini sijafanikiwa kuipata maana hawana hiyo miundombinu sehemu nilipo.
 
Hayo ndio majibu waliyonipatia nilipowaendelea kuomba huduma yao.
Wale ni wavivu hawataki kutoka kwenda site tu kwasababu wana uhakika wa mishahara

Ukitaka kujua hilo angalia matangazo yao kwenye social media wanayo nadi kuwa fiber inafika popote.

Wapigie wakurugenzi ngazi za juu utaona watakujibu tofauti na ulivyoambiwa na hao waliokuanbia hivyo

Hili shirika ni la kipimbi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…