Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Niliitaka huduma yao kwa matumizi ya nyumbani kwa sababu pia ni affordable. Lakini sijafanikiwa kuipata maana hawana hiyo miundombinu sehemu nilipo.
🤣🤣 ni afadhali miundo mbinu hakuna unajipa moyo kwamba hawajakupa huduma kisa miundombinu, kichwa kiwaka pale miundombinu ipo na hakuna kitu wanafanya
 
Line ya Airtel 5G nayotumia kwenye Router imegoma kusapoti data kwenye simu
Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu habari zenu. Samahan natoka nje ya mada kidogo, Nina harddisk yangu haisomi kwenye pc nikiskiliza mlio wake ni kama mashine yake kwa ndan imekwama hivi, inagonga, so anaefaham namna ya kurecover files au anafaham fundi anaeweza kunisaidia naomba anisaidie mana hapa nimekwama nimeshauliza mafundi mbalimbali ninaowajua wameniambia hiyo ni kesi ngumu
 
Kwenye disk management kule inaonekana?
 
Naona TTCL wanazingua mjini tu hapa wanasema hawajafika hawana vifaa vya kutosha.
Aliyefanikiwa kutumia hawa tigo atupe ushuhuda nijaribu kuishi humo.
Mi nimeunga Fiber TTCL nimetumia mwezi tu imekata, kuja kurekebisha ni shughuli, anakuja mtu mara 1 kwa wiki 2 na akija anakupiga sound anaondoka, Tena mjini kabisa. Mitandao ya simu speed sio kama Fiber ila reliability ni uhakika, Bora ukomae na 5G kama unaweza ku afford.
 
Mi niliwaambia lakini hawa TTCL ni miyeyusho, no matter wamekufurahisha mara moja ila usiwape credit

Maana watakuja kukukera mara 100
 
Malalamiko ya wadau unayaona lakini?


Sema yule wakala alosema ile 200k imetolewa wafanyakazi wa namna ile hawafai kabisa ofisini

Hiki ndio napitia kwenye Supakasi.

Kila nikiongea na customer care wananiambia tatizo lako mtafute Key Account Manager wako ndio anaweza kukusaidia. Nikiwaambia waniangalizie kwenye system wanaruka wanasema hawana access.
Wananiambia tu nenda ulijisajiri watakupatia wakati alienisajili na huduma nilimtoa huku JF na sasa hivi anaruka vipengele vya Voda.

Ushauri wangu ni bora kwenda kwenye maduka makubwa kuliko haya yanayotembea yakisikia unless kifurushi ni cha Backdoor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…