Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Intaneti ya siku 7.Pata GB 10 kwa Sh 10000 tu zakutumia kwa siku 7. Piga *149*03*1# kujiunga na Ofa hii.
 


Hiyo ni ttcl miye ninapata LTE na hiyo ndo speed yake maeneo ya kunduchi. Usiku lile bando la night nikipanga mafile yangu kama ya 10gb kudownload dk 10 tuu nimemaliza mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…