Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wale wa Airtel 5G Speed ipoje? 10Mbps inakuwa fresh? nipo mitaa ya mbezi luguruni airtel wanasema 5G inapatika kote Dar sasa hivi kwahyo huko hakuna shida, maana natka kuchukua hii au Voda sema voda gharama juu kidogo
Inakamata fresha kabisa, nipo maeneo hayo pia....

Cha msingi taa ya kijani ikishawaka tuu basiiii...
 
Upo kwembe king'azi?
Unataka ujue mpaka mtaa mkuu😀😀

Wewe jua kibamba nzima airtel mtandao uko vzr 90% ukitumia router zao..... Hizo 10% za downside ni factors ambazo ziko nje ya uwezo wao kama hali ya hewa, kama unaishi mabondeni sana nk..

Ila generaly mtandao uko vzr..

Speed test zangu zote huwa zinagota 10Mbps kwa kifurushi hiki cha 70k.

 
Na pia kwa speed hii ku stream online si fresh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…