Hii linenya kawaida??
Line maalumu kwa internet tu huwezi ku piga simu wala kutuma sms inaitwa M2M.Hii linenya kawaida??
Ndio mkuu.Hii ni menu ya mwezi?
Hapana nenda haloshop utaipataHii linenya kawaida??
Hiyo ndio niliyo nayo mmLine maalumu kwa internet tu huwezi ku piga simu wala kutuma sms inaitwa M2M.
Pia kwasasa wana line nyingine tena yenye sifa kama za M2M ila yenyewe unaweza piga simu na kutuma sms.
SangaweJr Troublemaker kuna mtu amesema 50,000 Halotel no unlimited, any idea speed yake ipoje?Hiyo ndio niliyo nayo mm
Mkuu mimi sio heavy user ila kwa 18Gb speed ipo vizuri, napata speed sawa na niliyokuwa naipata kwenye line ta kawaida sijajua kwa unlimited.SangaweJr Troublemaker kuna mtu amesema 50,000 Halotel no unlimited, any idea speed yake ipoje?
Sijajua mkuu.. Kwa sasa plan yangu ni mwisho bundle la 30000. Maana gb 30 huwa natoboa mwezi.SangaweJr Troublemaker kuna mtu amesema 50,000 Halotel no unlimited, any idea speed yake ipoje?
Kuna line pitia reply hapo juu halotelWenzangu,,natafuta ushauri ni jinsi Gani naweza kupata bandle la internate kwa simu yangu nayoitumia kuinguanisha na laptop kwa shughuli zangu kama kufanya masomo online.Sababu ukiweka bandle la elf 10 unaweza Kuta halimalizi hata siku 2 wakati nakumbuka enzi za jiwe ukiweka elfu 10ulikuwa unapata bandle la kutumia hada kwa siku 20 full matumizo.
Kwa sasaa nataka kufanya masomo ya course fupifupi online,,naomba ushauri wa kupata bandle la gharama ndogo kama ambavyo intrnate cafe unakuta wanakucharge book kwa saa na bado wanapata faida.Asante
Unafanyaje kuvipatamkuu
Ni line unasajili hiyo line ni interñet tu. Huwezi piga wala kupokea simu.Unafanyaje kuvipatamkuu
Hizo laini unapata wapi na zinamasharti yeyote?Line maalumu kwa internet tu huwezi ku piga simu wala kutuma sms inaitwa M2M.
Pia kwasasa wana line nyingine tena yenye sifa kama za M2M ila yenyewe unaweza piga simu na kutuma sms.
Kwa urahisi zaidi nenda haloshop.Hizo laini unapata wapi na zinamasharti yeyote?
me wamenisajilia buree tu. Sema nilimpigia kutoka huko aliko na ilikuwa weekend jioni kafika usiku so nikaamua tu kumpoza 5000 kama nauli.Kwa urahisi zaidi nenda haloshop.
Maana hawa ma agent wa mitaani wanatamaa line ya bure wao wanataka 5000 hadi 10000.
Sharti ni moja tu ukisajili basi lazime uunge kifurushi kimojawapo kati ya hivyo kuna cha 5000 kwa 4GB wiki au hivyo vya mwezi.
Hakuna vya vyoda ?Ni line unasajili hiyo line ni interñet tu. Huwezi piga wala kupokea simu.
Pitia reply huko juu nimekwambia imeelezewa na no ya msajili ipo kama utahitaji.