Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Anaejua namna ha kupata/kuunga hiyo Unlimited ya Halotel reply hapa 🙏🏾
 
Anaejua namna ha kupata/kuunga hiyo Unlimited ya Halotel reply hapa 🙏🏾
Mm pia nIitafuta hii sio kwenye site yao or social media wala agents wa halotel anajua km unlimited service ipo kwao wao wanaongelea tu GB za kununua and una top up kutokana na unavyotumia
Kingine natafuta line ya data pekee sijajua naipataje
 
Kwa urahisi zaidi nenda haloshop.
Maana hawa ma agent wa mitaani wanatamaa line ya bure wao wanataka 5000 hadi 10000.

Sharti ni moja tu ukisajili basi lazime uunge kifurushi kimojawapo kati ya hivyo kuna cha 5000 kwa 4GB wiki au hivyo vya mwezi.
Mlimani city pia waliniambia bei ni elfu 5 ya data pekee
 
Speed ni fixed 10 ama 30 etc inategemea na watumiaji, kama ni 10mbps usitegemee watu wengi kutumia pamoja, maximum kama wa 5 hivi kwa mkupuo na kupata speed nzuri.
Inakua ni shared ila km zone yako haina watu wengi na hakuna buffer ndio inafika mpk 10mb km max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…