Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mi pia nauliza mkuu, maana ninayo ya internet haikubali hio namba.
Hivi wa wako Serious??
Screenshot_20240627-115239_Facebook.jpg
 
Habari, wakuu mimi baba mwenye familia, nimepata ajali mbaya now nipo nyumbani najiuguza, watoto shule wanafungua tar 1

Ninaomba kwa mwenye connection ya watu mitandao walio kweny system nisaidiwe namna au laini yenye uwezo wa kurusha ana kuuza vifurushi vya internet MBs na Gb,

Ili angalau niweze kupata hata kidogo mahitaji ya familia nipunguze ukali wa maisha maana utawagemea ndugu wakupe msaada mpka lini wameshanichoka nao wana majukumu yao. Natanguliza shukrani,, Karibuni PM wakuu kwa mengi zaidi.
 
Una hela?
 
Wakuu msaada nimenunue vocha ya 300,000 bahati mbaya kupitia NBC app badala ya kutuma kama pesa ya kawaida

Kuna namna yoyote naweza kuipeleka sehemu nipate cash? hata kwa hasara fulani hivi

Ikishindikana kabisa ntakuwa najiungia tu bundle za mwezi za airtel hizi unlimited ila sina mipango mirefu hivyo kwasasa, mwenye idea nitashukuru
 
Wasiliana na mtandao wako wakupe utaratibu
 
Wakuu msaada nimenunue vocha ya 300,000 bahati mbaya kupitia NBC app badala ya kutuma kama pesa ya kawaida

Kuna namna yoyote naweza kuipeleka sehemu nipate cash? hata kwa hasara fulani hivi

Ikishindikana kabisa ntakuwa najiungia tu bundle za mwezi za airtel hizi unlimited ila sina mipango mirefu hivyo kwasasa, mwenye idea nitashukuru
Mkuu pole, hiyo hela ndo imeshaenda hao jamaa hawarudishi option hapo ni kuitumia mdogo mdgo au tafuta wale wanaouza vocha za kurusha then uwauzie japo pia limit yako per day ni kuuza vocha mwisho 25,000.
 
Back
Top Bottom