Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Mie nimevuta ttcl Airtel majambazi tu hakuna lolote ukitumia sana speed Ina drop sio poa
Kwa ttcl hali ipoje?
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nimevuta ttcl Airtel majambazi tu hakuna lolote ukitumia sana speed Ina drop sio poa
Hivi wa wako Serious??Mi pia nauliza mkuu, maana ninayo ya internet haikubali hio namba.
Toa maelezo vizuri. Menu ikoje nkasajiri laini sasa hivi??Halotel tunaenjoy na gb15 kwa 10000 mwezi mzima.
NB.sio m2m wakuu
Pia unaruhusiwa kurusha mb
Utapeli tu huu mkuu, kuna unnecessary info zinamu expose hapoHivi wa wako Serious??View attachment 3027415
Una hela?Habari, wakuu mimi baba mwenye familia, nimepata ajali mbaya now nipo nyumbani najiuguza, watoto shule wanafungua tar 1
Ninaomba kwa mwenye connection ya watu mitandao walio kweny system nisaidiwe namna au laini yenye uwezo wa kurusha ana kuuza vifurushi vya internet MBs na Gb,
Ili angalau niweze kupata hata kidogo mahitaji ya familia nipunguze ukali wa maisha maana utawagemea ndugu wakupe msaada mpka lini wameshanichoka nao wana majukumu yao. Natanguliza shukrani,, Karibuni PM wakuu kwa mengi zaidi.
Kama huamini achana naeNatafuta gwiji wa kutrack namba ya simu ya mtu kwamba Yuko wapi mwenye uwezi aje inbox Kuna malipo.
Njoo tuyajenge mkuu hera sio kila kitu hapa Duniani.Una hela?
Acha utoto,Nina Rb nataka nimdake mhalifu wanguKama huamini achana nae
Vip watu wa Router za Airtel mnavuka 1TB kwa mwezi?
Hapa TCRA ndio uhakika sema gharama zitakutoka, nishawahi kuwa na kesi ya kutafuta mtu alikopa ikabidi nifike huko vijana wengine watakupiga tu pesa bila chochoteAcha utoto,Nina Rb nataka nimdake mhalifu wangu
Wasiliana na mtandao wako wakupe utaratibuWakuu msaada nimenunue vocha ya 300,000 bahati mbaya kupitia NBC app badala ya kutuma kama pesa ya kawaida
Kuna namna yoyote naweza kuipeleka sehemu nipate cash? hata kwa hasara fulani hivi
Ikishindikana kabisa ntakuwa najiungia tu bundle za mwezi za airtel hizi unlimited ila sina mipango mirefu hivyo kwasasa, mwenye idea nitashukuru
Mkuu pole, hiyo hela ndo imeshaenda hao jamaa hawarudishi option hapo ni kuitumia mdogo mdgo au tafuta wale wanaouza vocha za kurusha then uwauzie japo pia limit yako per day ni kuuza vocha mwisho 25,000.Wakuu msaada nimenunue vocha ya 300,000 bahati mbaya kupitia NBC app badala ya kutuma kama pesa ya kawaida
Kuna namna yoyote naweza kuipeleka sehemu nipate cash? hata kwa hasara fulani hivi
Ikishindikana kabisa ntakuwa najiungia tu bundle za mwezi za airtel hizi unlimited ila sina mipango mirefu hivyo kwasasa, mwenye idea nitashukuru
Wapigie wanakutoaAmna njia ya kublock hawa wajinga maana yana kera sana aseee View attachment 3029368
Wa mtandao au hao meridian maana sija wahi tumia iyo app ya bettingWapigie wanakutoa
Fungua hiyo text then option halafu tiki block and report spam.Amna njia ya kublock hawa wajinga maana yana kera sana aseee View attachment 3029368