Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Pole sana mkuu,Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi katika hayo unayopitia Inshallah
 
Peleka kwa wanaorusha vocha, ukiwapa deal zuri wanachukua hio vocha,
 
Wadau naombeni ufafanuzi kwa mwenye experience.Je ile powerbank ya router za airtel inaweza kuwasha router za voda 5g ZTE mc888?
 
Wakuu mtu akitaka huduma hii anichekinni free of charge awe naizo requirements tu atajinunulia mwenyewe tu bundle lake 0753207909

SME BUNDLE REQUIREMENTS;

Individual :

1.Tin Certificate
2.ID(Nida,Voter or Driving License)

Company or Business;

1.Tin Certificate
2.Business License
3.ID (Nida,Voter or Driving license)
4.Certificate of Incorporation/Registration

 
Airtel leo wamefakisha kisngeee

Huu sasa ni zaidi ya wizi

View attachment 3037617View attachment 3037617
Kulingana na observation ndogo niliyofanya nimebaini kuwa leo mitandao karibia yote ilikuwa down kwenye internet.

Nimetumia Halotel nikakutana na the same problem.

Lakini pia kuna mtu kanipigia simu akiniukiza kama internet upande wangu iko poa baada ya kuona yeye inamsumbua.

Huyo mtu naye ni Halotel user alidhani kwa upande wa Router hilo tatizo halipo.
 
Sisi wenye NIDA na TIN uatusaidiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…