Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Pole sana mkuu,Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi katika hayo unayopitia InshallahHabari, wakuu mimi baba mwenye familia, nimepata ajali mbaya now nipo nyumbani najiuguza, watoto shule wanafungua tar 1
Ninaomba kwa mwenye connection ya watu mitandao walio kweny system nisaidiwe namna au laini yenye uwezo wa kurusha ana kuuza vifurushi vya internet MBs na Gb,
Ili angalau niweze kupata hata kidogo mahitaji ya familia nipunguze ukali wa maisha maana utawagemea ndugu wakupe msaada mpka lini wameshanichoka nao wana majukumu yao. Natanguliza shukrani,, Karibuni PM wakuu kwa mengi zaidi.