Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
Mwl, wakati wa jioni na usiku wa mapema haupati changamoto ya speed? Maana kwangu inashuka kabisa hata picha hazifunguki/ kufunguka kwa shida sanaView attachment 3043826
Kwa upande wangu Airtel bado iko sawa, kwa package ya 10Mbps.
safi sana mkuu, hii halotel ya 50k tumeiulizia sana hapa jukwaani takriban miezi kama miwili nyuma watu kadhaa waliulizia ila walopost kutumia hawakutoa mrejesho inapatikana vipi.Updates
Nimeletewa Router ya HalotelView attachment 3044003Na speed yake ni kama ifuatavyo.View attachment 3043995
Hakuna cha contract, hii Router unauziwa moja kwa moja haukodishiwi kama Airtel wanavyofanya kwenye package ya 30Mbpssafi sana mkuu, hii halotel ya 50k tumeiulizia sana hapa jukwaani takriban miezi kama miwili nyuma watu kadhaa waliulizia ila walopost kutumia hawakutoa mrejesho inapatikana vipi.
swali la msingi contract yao inasemaje hawa, tuangalie uwezekano
hii ntaifatilia mkuuHakuna cha contract, hii Router unauziwa moja kwa moja haukodishiwi kama Airtel wanavyofanya kwenye package ya 30Mbps
Naomba namba ya huyo wakala na mimi nijipatie nakala yanguUpdates
Nimeletewa Router ya HalotelView attachment 3044003Na speed yake ni kama ifuatavyo.View attachment 3043995
+255628738005Naomba namba ya huyo wakala na mimi nijipatie nakala yangu
Mkuu, hizi router zao ni kampuni gani, naomba na model yake ili tuangalie kama zinaendana na hiyo bei ya 200k..Updates
Nimeletewa Router ya HalotelView attachment 3044003Na speed yake ni kama ifuatavyo.View attachment 3043995
Wanazingua sana
Ni ZLT kama sikoseiMkuu, hizi router zao ni kampuni gani, naomba na model yake ili tuangalie kama zinaendana na hiyo bei ya 200k..
Hawa jamaa miyeyusho sana
Kaka hizi router zao nazo zina power bank? Maana naona hapo haijawa connected kwenye umeme ila inawaka… Hawa Airtel ni wakuwakimbiaa tuUpdates
Nimeletewa Router ya HalotelView attachment 3044003Na speed yake ni kama ifuatavyo.View attachment 3043995
Ni model gani mkuu...Ni ZLT kama sikosei
Hawashushi mkuuVoda vipi mida ya jioni na usiku wa mapema, inapiga fresh au nako speed inashuka?
Asante sana kwa updates mkuu hii soon naitafuta Hawa voda wananipa cha laki na 15 ngoja nirudi cha 50 k hiki kinafaa kwa matumizi yangu ya sasa voda na Airtel ni wahuni bei kubwa sana afu spidi wanapunguza sanaUpdates
Nimeletewa Router ya HalotelView attachment 3044003Na speed yake ni kama ifuatavyo.View attachment 3043995
S20Ni model gani mkuu...
Maana hata hizi za Airtel ni ZLT.
Voda nao wanamchezo wa kupunguza speed?Asante sana kwa updates mkuu hii soon naitafuta Hawa voda wananipa cha laki na 15 ngoja nirudi cha 50 k hiki kinafaa kwa matumizi yangu ya sasa voda na Airtel ni wahuni bei kubwa sana afu spidi wanapunguza sana
Zina batter ya moja kwa moja ambayo inakuwa ndani.Kaka hizi router zao nazo zina power bank? Maana naona hapo haijawa connected kwenye umeme ila inawaka… Hawa Airtel ni wakuwakimbiaa tu