Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
Mwl, wakati wa jioni na usiku wa mapema haupati changamoto ya speed? Maana kwangu inashuka kabisa hata picha hazifunguki/ kufunguka kwa shida sanaView attachment 3043826
Kwa upande wangu Airtel bado iko sawa, kwa package ya 10Mbps.