Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

unaweza kushare ni line ya 4G au 3G? muonekano wa line upoje?
Ni line ya 4G voda nikinunua kwa mpesa ile ya kwako tu nimeshanunua zaidi ya mara 6 na sasa hivi nimecheki bado ipo.
Speed yake nzuri sana jana nimedownload movie ya deadmen tell no tales ilikuwa na 1.5 gb nimeidownload ndani ya dakika kama 24 hivi maan ilikuwa inaenda mpaka mb7/sec
 
then itakuwa ni random tu, mimi line yangu ya voda ya 4G sina hilo bundle, pia ya voda ya chuo sina, ila voda ya 3G kawaida napata hilo bundle la 5GB.
 
Hii GB 5 kwa 2000 kutoka voda nishaitafuta lakini wapi sijui ni vigezo gani vimetumika baadhi ya wateja kupewa kwenye menu yao me naambulia MB 400 kwa buku elfu 2 kwa 1.5GB zitumike ndani ya masaa 24
 
Device yako ni 4G ?
Mimi line ya Voda 4G ilinishinda haina gara spidi imezidiwa hata na Halotel
Nilijuta kuinunua
 
Hii GB 5 kwa 2000 kutoka voda nishaitafuta lakini wapi sijui ni vigezo gani vimetumika baadhi ya wateja kupewa kwenye menu yao me naambulia MB 400 kwa buku elfu 2 kwa 1.5GB zitumike ndani ya masaa 24
Hahahaaa pole sana
Wanakupa kutokana na muda uliotumia laini yao
Pia wanakupa kutokana na unachopenda kutumia km dk,sms au mb
Tumia intaneti kwa sana ipo siku watakupatia
 
Basi hii ya voda inatofautiana mteje kwa mteja. Maana kwangu ni 3gb kwa 2000 kwa siku 5. Halafu hawa voda sometimes ni wezi maana unaweza kujiunga ndani ya SAA moja GB zote kwisha. Washanifanyia hivyo Mara mbili. So muwe waangalifu.
 
Airtel kwa sasa *149*81# huu mzigo hatari kwa siku 500=2GB upewe nini tena??
Sema speed anajitahidi lakin Halotel ndo top
 
Airtel kwa sasa *149*81# huu mzigo hatari kwa siku 500=2GB upewe nini tena??
Sema speed anajitahidi lakin Halotel ndo top
Hiyo mpaka laini ya chuo
Mm ninayo sometimes huwa naitumia
Kuhusu network imeboreshwa siku hizi labda kama upo eneo local
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…