Hawana.tigo hawana hii huduma?
Nisaidie contact zake broKuna jamaa ananiunga Halotel 5000 unapata 5GB kwa siku 14 sio kifurushi kibaya kama una budget
Hapo unakua umepigwa 😂 kwa hiyo hiyo 5k unapata 7.8GB wiki 2 kuna lain za Halotel zinaitwa communityKuna jamaa ananiunga Halotel 5000 unapata 5GB kwa siku 14 sio kifurushi kibaya kama una budget
Menu ya hiyo line ya community plz?Hapo unakua umepigwa 😂 kwa hiyo hiyo 5k unapata 7.8GB wiki 2 kuna lain za Halotel zinaitwa community
2k 3GB wiki
5k 7.8GB wiki 2
10k 15.2GB Mwezi
kwahyo ukitoa 5K jamaa anakutumia 5GB anabak na 2.8GB na hela yake inakua imerud sa kwa nn na ww usisajili hiyo line(Halotel community )uwe independent usi depend kwake hizo lain zipo mtaani tu
unaulizia menu wkt line hauna?😅😅Menu ya hiyo line ya community plz?
Menu ya hiyo line ya community plz?Bl
Tafuta lain kwanza (Halotel community)Menu ni ile ile shart ununue kifurush kupitia HaloPesa ukiwa una nunua menu *148*66# then namba 1 hapo sasa utaona 2k 985GB ila ukinunua inakuja 2.5GB then 505 zinakuja kama zawad ya kununua kwa Halo Pesa total inakua 3GB wiki 5k utaona 2.4GB ila ukinunua unapata 6.5GB then 1.3GB zinakuja kama bonus wik 2 we kua na lain kwanzaMenu ya hiyo line ya community plz?
Asante mkuu kwa masimango ila menu nimeshaipata.unaulizia menu wkt line hauna?😅😅
Mkuu umetisha sana hii line nilikuwa nayo,pamoja na M2M ila nilideal sana na M2M,hii nilikuwa sijui jinsi ya kuunganisha hizo huduma,now rasmi ataruka nayo wife inipunguzie makali kidogoTafuta lain kwanza (Halotel community)Menu ni ile ile shart ununue kifurush kupitia HaloPesa ukiwa una nunua menu *148*66# then namba 1 hapo sasa utaona 2k 985GB ila ukinunua inakuja 2.5GB then 505 zinakuja kama zawad ya kununua kwa Halo Pesa total inakua 3GB wiki 5k utaona 2.4GB ila ukinunua unapata 6.5GB then 1.3GB zinakuja kama bonus wik 2 we kua na lain kwanza
Vya bure huwa gharama mkuu..Jamani hawa halotel vipi, mbona wamekuja kuminya speed. Au kuna shida mahali?
Hizi Line za community ninazipata vipi.Hapo unakua umepigwa 😂 kwa hiyo hiyo 5k unapata 7.8GB wiki 2 kuna lain za Halotel zinaitwa community
2k 3GB wiki
5k 7.8GB wiki 2
10k 15.2GB Mwezi
kwahyo ukitoa 5K jamaa anakutumia 5GB anabak na 2.8GB na hela yake inakua imerud sa kwa nn na ww usisajili hiyo line(Halotel community )uwe independent usi depend kwake hizo lain zipo mtaani tu
Unaipata kama hvHizi Line za community ninazipata vipi.
Hata Voda kwa siku hizi mbili spidi ni konokonoJamani hawa halotel vipi, mbona wamekuja kuminya speed. Au kuna shida mahali?
Wewe ukitumasms 10 basi zinaishaWakuu nina swali la kizushi, kwenye simu ukiwa na sms 10. Zinatumikaje ili ziishe?
1. Wewe kutuma sms 10
2. Au sms unazopokea na kutuma zote ukichanganya zikifika 10
?
Sasa mkuu kuna scenario imenitokea hapa kwenye 10. Mimi nimetuma 5 na majibu nimetumiwa 5. Nimetaka kutuma ya sita wamesema salio halitoshi.Wewe ukitumasms 10 basi zinaisha
WamekuibiaSasa mkuu kuna scenario imenitokea hapa kwenye 10. Mimi nimetuma 5 na majibu nimetumiwa 5. Nimetaka kutuma ya sita wamesema salio halitoshi.
Hiki kitu kinawezekana kweli?
Polee sana mkuu 😂 😁Huu uzi umebaki kuwa wa matajiri wa Router na fibre kubabake..
sasa sisi kajamba nani tukomae na bando la elfu 10 kwa mwezi
Airtel
View attachment 3085076
Halo shopuHizi Line za community ninazipata vipi.
SMS ni herufi kama 160 hivi, uki zidisha hata kama umetuma sms kama moja ita count sms 2 kwa mpigo. Kuna simu nyengine refurbished sms ni kama maneno 120 tu.Sasa mkuu kuna scenario imenitokea hapa kwenye 10. Mimi nimetuma 5 na majibu nimetumiwa 5. Nimetaka kutuma ya sita wamesema salio halitoshi.
Hiki kitu kinawezekana kweli?