Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimekusoma boss itakapo kuwa unlocked uta zipata zote itakuwa juu yako wewe kuendelea tumia admin user au rooted user which gives you access to full customization. So tuma hela iwe unlocked 28k sio hela ya kutisha sana kujitosa MZee kz umesha loose kibao hahahahaha. Good Day bro
 
Nakupa plan B ya hizi changamoto kz nimegundua na wewe ni heavy data user. Fanya online application ya TTCL. T-Faiba | Online Application mimi nimeongea nao walicho niambia huduma ya TTCL fiber ni kwa Tanzania nzima unacho takiwa fanya jaza form submit mtu wa survey ata kupigia aje kagua wakungie ni cheap as 55k plus installation. Kikubwa jitahidi eneo lako muwe watu kadhaa kama ilivyo tanesco ili wanapo leta cable isiwe kwako tu kuwe na wengine kusaidia costs.
Natamani pia nilipo panga niwe na stable internet ila wanao ni zunguka wote hizo mishe sio zao hahahahahaha, ndio mana na komaa na Halotel ila sio kupenda kwangu.
 
Tuna unlock Router za airtel 5g (Models: ZLT x20, x21, x25pro, x25A, x28, x28pro) kwa gharama ya Tsh 10,000 tu. Nicheck whatsapp LINK. Malipo baada ya kazi.
Mna uwezo wa ku unlock Router zenye version zilizozidi 4.0.1 ?
 
150K halafu kinaisha mwezi, too risk.

Kwa hali ya sasa bula kurisk kubali ulipie zaidi

Halotel kifurushi cha 50k unlimited haikuwa official, line zilikuwa zinauzwa laki 1 na nusu kwa wale wateja wa mwanzoni kabisa mwanzoni mwa mwaka, Laini laki 1 + kifurushi cha mwezi elf 50

Kilikuwa ni kifurushi cha siri kwa line special lakini kuanzia mwezi wa sita Kikaanza kupatikana kwenye line za ziada za m2m unapewa GB 180 baada ya hapo speed inashuka, Muda huu kimepigwa block line zote ukutumia gb 25 speed inashushwa,
 
Wewe utakuwa sio mfuatiliaji sana wa huu uzi.

Hao TTCL nimeanza kuwafuata tangu wakiwa na internet yao ya copper hapo nazungumzia 2020

Fiber mlangoni ilipozinduliwa mimi niliwahi haraka kuanza kufanya mchakato wa kujisajili.

Huo mfumo wa mtandao umekuja mwaka jana tu hapo napo huko nina fomu zangu zisizopungua tatu.

Kiufupi hakuna jitihada ambayo sijaifanya itayonifanya nijione mzembe kwa kutopata hiyo huduma ya Fiber kutoka TTCL.
 
Risk za sasa zinaweza kuja na consequences ambazo ni too high to bear

At leats wangesema 100K ila 150K kwa hali ya uchumi wangu ni moja ya foolish attempt
 
Mkuu halotel ilikuwaje? Hembu toa kisa chako maana mimi na tumia Halotel ina mwaga moto vizuri tu via X28 udhamini wa Airtel
walikuwa na kifurushi cha nyuma ya mlango / sio official kinaitwa cha kifahari, kimeandikwa gb 24 lakini ukiunga unatumia unlimited utaamua mwenyewe utumie kiasi gani, miezi michache iliyopita wakakiweka kiwe official kwenye line nyingine za m2m ila huku nasikia ilikuwa unatumia gb 180 kisha speed inashuka,

Ngoma ikivuma mwishowe hupasuka, huduma imefungwa rasmi, kwa sasa ukitumia GB 25 iwe kwa line za special za mwanzo au m2m, speed inashushwa.
 
Duh! Sasa hii hatare itabidi line zao tuzitupe sasa, tulifuata unlimited sasa kama yamekua hayo tunarudi airtel.
 
Umewahi kujiunga hilo bando ?

Sehemu yenye 4g hali vp ?

Lina speed kiasi gani kiuhalisia ?

Ni kama postpaid lazima kila mwezi kulipia ?
Ndio niliacha baada ya kupata halotel, na hapa mimi napata 4g tu, speed yake ndio hiyo 10 mbps kama mpo wachache home linatosheleza, na sio lazima kila mwezi mambo yakikaa vibaya unaacha tu hamna deni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…