Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi ni mtu ambaye napenda ku customize device na ndio maana hata iPhone kwangu sio chaguo langu.

Hizo option unazoona sio za maana ila kwangu mimi hizo option ni the best.

Kwangu mimi kuwa limited na hizo features naona ni sawa na wewe upewe simu ya mkopo ambayo inakuwezesha kupiga simu tu na kupokea halafu nakuambia hizo ndio features muhimu kwenye simu hayo mambo ya Camera sijui WhatsApp nk. Sio mambo ya msingi
😀😀😀😀😀😀 nimekusoma boss itakapo kuwa unlocked uta zipata zote itakuwa juu yako wewe kuendelea tumia admin user au rooted user which gives you access to full customization. So tuma hela iwe unlocked 28k sio hela ya kutisha sana kujitosa MZee kz umesha loose kibao hahahahaha. Good Day bro
 
Mi ndio maana sitaki kuamini kama hii changamoto inatokana na location.

Hii ni figisu za wao wenyewe tu. Kwanza kifurushi hakifahamiki speed rasmi ni kiasi gani ili hata ikipungua ujue imepungua kwa kiasi gani kutoka kwenye asili yake.

Lakini kitu kingine kuna siku iliwahi kumtokea mwanangu mtandao uli shake kiasi kwamba hata kufungua Gmail alishindwa.

Akamipigia simu akilalamika kuwa mtandao wa Gmail unasumbua, mi nikamwambia ngoja ni test kwangu.

Nilipo test huku ikafunguka, nikamuambia tumia mobile data kufungua. Alipofanya hivyo mambo yakawa fresh.
Nakupa plan B ya hizi changamoto kz nimegundua na wewe ni heavy data user. Fanya online application ya TTCL. T-Faiba | Online Application mimi nimeongea nao walicho niambia huduma ya TTCL fiber ni kwa Tanzania nzima unacho takiwa fanya jaza form submit mtu wa survey ata kupigia aje kagua wakungie ni cheap as 55k plus installation. Kikubwa jitahidi eneo lako muwe watu kadhaa kama ilivyo tanesco ili wanapo leta cable isiwe kwako tu kuwe na wengine kusaidia costs.
Natamani pia nilipo panga niwe na stable internet ila wanao ni zunguka wote hizo mishe sio zao hahahahahaha, ndio mana na komaa na Halotel ila sio kupenda kwangu.
 
150K halafu kinaisha mwezi, too risk.

Baada ya hapo ni kuwa utaweza kununua mwenyewe kwa bei ya 50K

Bado lakini kwangu naona ni risk vilevile kwasababu hivi ni vifurushi ambavyo havikupi guarantee ya kuendelea kuwepo.

Kama havijapitia njia halali maana yake siku yeyote kampuni ikasanukia mchongo basi umekwisha.

Na wao wameweka hela ndefu kwa tamaa zao ni kama wanataka kutumia huo mwanya kumalizia matatizo yao.
Kwa hali ya sasa bula kurisk kubali ulipie zaidi

Halotel kifurushi cha 50k unlimited haikuwa official, line zilikuwa zinauzwa laki 1 na nusu kwa wale wateja wa mwanzoni kabisa mwanzoni mwa mwaka, Laini laki 1 + kifurushi cha mwezi elf 50

Kilikuwa ni kifurushi cha siri kwa line special lakini kuanzia mwezi wa sita Kikaanza kupatikana kwenye line za ziada za m2m unapewa GB 180 baada ya hapo speed inashuka, Muda huu kimepigwa block line zote ukutumia gb 25 speed inashushwa,
 
Nakupa plan B ya hizi changamoto kz nimegundua na wewe ni heavy data user. Fanya online application ya TTCL. T-Faiba | Online Application mimi nimeongea nao walicho niambia huduma ya TTCL fiber ni kwa Tanzania nzima unacho takiwa fanya jaza form submit mtu wa survey ata kupigia aje kagua wakungie ni cheap as 55k plus installation. Kikubwa jitahidi eneo lako muwe watu kadhaa kama ilivyo tanesco ili wanapo leta cable isiwe kwako tu kuwe na wengine kusaidia costs.
Natamani pia nilipo panga niwe na stable internet ila wanao ni zunguka wote hizo mishe sio zao hahahahahaha, ndio mana na komaa na Halotel ila sio kupenda kwangu.
Wewe utakuwa sio mfuatiliaji sana wa huu uzi.

Hao TTCL nimeanza kuwafuata tangu wakiwa na internet yao ya copper hapo nazungumzia 2020

Fiber mlangoni ilipozinduliwa mimi niliwahi haraka kuanza kufanya mchakato wa kujisajili.

Huo mfumo wa mtandao umekuja mwaka jana tu hapo napo huko nina fomu zangu zisizopungua tatu.

Kiufupi hakuna jitihada ambayo sijaifanya itayonifanya nijione mzembe kwa kutopata hiyo huduma ya Fiber kutoka TTCL.
 
Kwa hali ya sasa bula kurisk kubali ulipie zaidi

Halotel kifurushi cha 50k unlimited haikuwa official nili risk kusajili special line kwa laki 1 mwezi wa wa pili, nilikuwa moja wa watumiaji wachache sana wa mwanzoni, Nime enjoy kutumia kwa miezi mingi.

Kilikuwa ni kifurushi cha siri lakini kimesambaa sana hakuna siri tena, ndio maana kimebanwa stop baada ya kuwa official, speed inashwa ukivuka zile gb 25, lakini line za kawaida zina speed kubwa.

Ni muda wa kurisk huko airtel
Risk za sasa zinaweza kuja na consequences ambazo ni too high to bear

At leats wangesema 100K ila 150K kwa hali ya uchumi wangu ni moja ya foolish attempt
 
Mkuu halotel ilikuwaje? Hembu toa kisa chako maana mimi na tumia Halotel ina mwaga moto vizuri tu via X28 udhamini wa Airtel
walikuwa na kifurushi cha nyuma ya mlango / sio official kinaitwa cha kifahari, kimeandikwa gb 24 lakini ukiunga unatumia unlimited utaamua mwenyewe utumie kiasi gani, miezi michache iliyopita wakakiweka kiwe official kwenye line nyingine za m2m ila huku nasikia ilikuwa unatumia gb 180 kisha speed inashuka,

Ngoma ikivuma mwishowe hupasuka, huduma imefungwa rasmi, kwa sasa ukitumia GB 25 iwe kwa line za special za mwanzo au m2m, speed inashushwa.
 
walikuwa na kifurushi cha nyuma ya mlango / sio official kinaitwa cha kifahari, kimeandikwa gb 24 lakini ukiunga unatumia unlimited utaamua mwenyewe utumie kiasi gani, miezi michache iliyopita wakakiweka kiwe official kwenye line nyingine za m2m ila huku nasikia ilikuwa unatumia gb 180 kisha speed inashuka,

Ngoma ikivuma mwishowe hupasuka, huduma imefungwa rasmi itakuwa ni kwasababu mitandao mingine imeona wateja wao wanakimbia, kwa sasa ukitumia GB 25 iwe kwa line za special za mwanzo au m2m, speed inashushwa.
Duh! Sasa hii hatare itabidi line zao tuzitupe sasa, tulifuata unlimited sasa kama yamekua hayo tunarudi airtel.
 
Umewahi kujiunga hilo bando ?

Sehemu yenye 4g hali vp ?

Lina speed kiasi gani kiuhalisia ?

Ni kama postpaid lazima kila mwezi kulipia ?
Ndio niliacha baada ya kupata halotel, na hapa mimi napata 4g tu, speed yake ndio hiyo 10 mbps kama mpo wachache home linatosheleza, na sio lazima kila mwezi mambo yakikaa vibaya unaacha tu hamna deni.
 
Back
Top Bottom