Nakupa plan B ya hizi changamoto kz nimegundua na wewe ni heavy data user. Fanya online application ya TTCL.
T-Faiba | Online Application mimi nimeongea nao walicho niambia huduma ya TTCL fiber ni kwa Tanzania nzima unacho takiwa fanya jaza form submit mtu wa survey ata kupigia aje kagua wakungie ni cheap as 55k plus installation. Kikubwa jitahidi eneo lako muwe watu kadhaa kama ilivyo tanesco ili wanapo leta cable isiwe kwako tu kuwe na wengine kusaidia costs.
Natamani pia nilipo panga niwe na stable internet ila wanao ni zunguka wote hizo mishe sio zao hahahahahaha, ndio mana na komaa na Halotel ila sio kupenda kwangu.