Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #9,941
Kabla ya GB 24 ni unlimited speedMkuu, yeye kwa matumizi yake mbona shwari? Mimi mwenyewe natumia unlimited ya Halotel na kwa matumizi yangu hiyo speed inanitosha kabisa hata after 24 GB
Nafikiri inategemea na mtu anatumia internet kufanyia nini.
Mwanangu nipe mchongo wa line ya airtel unlimited ya 70k tu Halotel ya kupiga chini hamna namnaVipi bado Halotel kwako inapasua?
Kuna mdau aliniambia inagonga speed kali ila jana kanionesha speed test yenye 320Kb, anasema imekuwa hivyo kwa siku mbili.
Vipi kwa upande wako?
Mimi mwenyewe nauhitaji na hiyo michongo.Mwanangu nipe mchongo wa line ya airtel unlimited ya 70k tu Halotel ya kupiga chini hamna namna
Halotel hiyo sio??
Wenyewe hao miyeyusho sanaHalotel hiyo sio??
Nimemkuta mwanangu anacheki press waliyofanya TLS akiwa anatumia mobile data.Wenyewe hao miyeyusho sana
Ni balaaa hata Leo ndio maana nilikuwa sipo online hadi nikanunua gb 7 za postpaid Airtel hapa ndio natumiaNimemkuta mwanangu anacheki press waliyofanya TLS akiwa anatumia mobile data.
Akaniambia yani ni siku ya 4 mambo hayaendi hata picha kufunguka ni msala.
We are running out of option, hatuna namna inabidi tukomae tu na upande wenye ka unafuu angalau.Ni balaaa hata Leo ndio maana nilikuwa sipo online hadi nikanunua gb 7 za postpaid Airtel hapa ndio natumia
Naunga mkono hoja mkuu haloteli wahuni sanaWe are running out of option, hatuna namna inabidi tukomae tu na upande wenye ka unafuu angalau.
Mi ndio maana pamoja na Throttling nayoioata Airtel bado imebaki kuwa option yenye nafuu kuliko mitandao mingine.
Hivi saizi taratibu najikuta nimeanza hadi kuzoea. Mbp 2.83 naona fresh tu baada ya hapo kikiisha naponunua tu napata 30Mbps
Na hivi tarehe 7 kifurushi kinaisha so lazima ninunue tu sina jinsi.
Sasa wewe utanunuaje 24GB kwa 50K?Mkuu, yeye kwa matumizi yake mbona shwari? Mimi mwenyewe natumia unlimited ya Halotel na kwa matumizi yangu hiyo speed inanitosha kabisa hata after 24 GB
Nafikiri inategemea na mtu anatumia internet kufanyia nini.
Mambo yamebadilikaKabla ya GB 24 ni unlimited speed
-zamani from GB 24 mpaka 350 speed ina pungua ila still usable 3-15MBps na baada ya 350GB ndio inashuka sana
-kwa sasa inasemekana wamepunguza toka GB 350 hadi Gb 100, baada ya GB 100 ndio wanapunguza speed sana.
Still ina value kwa hela kama matumizi yako ni Chini ya 4GB kwa siku.
Benhorta huyu ataongezea nyama zaidi.
Kwa sababu kifurushi kilikuwa unlimited pamoja na kuandikwa GB 24, binafsi kabla ya huu mwezi WA Kumi nilikuwa napata spidi ya 45Mbps Hadi 65Mbps hata baada ya GB 24 kuishaSasa wewe utanunuaje 24GB kwa 50K?
Wakati kuna options zingine za GB nyingi kwa bei ndogo zaidi ya hiyo...
Airtel SME wanakupa 22GB kwa 20K, wanakupa 35GB kwa 30K, hiyo 50K yako unayolipa ungekuwa unapata 60GB.
View attachment 3116451
Kuna utapeli fulani tigo post PaidKishoka wa kuaminika anayeunganisha tigo post paid anicheki dm
Shukrani mkuu*148*44# hapo unajisjili na tin number na ID hakikisha kwenye account una elfu kumi ya kujinga, vifurushi vyake ni kama aitel sme.View attachment 3107881View attachment 3107882
Sasa kama anakupa laki, ongeza 10k hapo ununue kifurushi cha 110k, 30Mbps.Natumkia kifurushi cha 70,000 kwa airtel.
Ila speed kwa sasa iko hapo japo kuna wakati inapanda juu.
Nimefikisha gb 765 mpaka sasa. N
Ila naona ofisini boss wangu ameielewa internet yake. Huwa nikifika tunatumia pamoja. Mwisho wa mwezi ananipa 100k kwa ajili ya kuweka kifurushi kingine. Mwezi mzima tumeruka nayo bila shida yeyote. Naona hapo nimeupiga mwingi. View attachment 3116493
Voda wanacho iko kifurushi,kasi internet,ukimaliza GB 27 ni mwendo wa kobe,natumia mwaka wa 3 sasa,najipanga ninunue router ya airtel na vifurushi vyao vya unlimitedHalotel katukomboa kwa kweli
50k unlimited