Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #9,941
Kabla ya GB 24 ni unlimited speedMkuu, yeye kwa matumizi yake mbona shwari? Mimi mwenyewe natumia unlimited ya Halotel na kwa matumizi yangu hiyo speed inanitosha kabisa hata after 24 GB
Nafikiri inategemea na mtu anatumia internet kufanyia nini.
-zamani from GB 24 mpaka 350 speed ina pungua ila still usable 3-15MBps na baada ya 350GB ndio inashuka sana
-kwa sasa inasemekana wamepunguza toka GB 350 hadi Gb 100, baada ya GB 100 ndio wanapunguza speed sana.
Still ina value kwa hela kama matumizi yako ni Chini ya 4GB kwa siku.
Benhorta huyu ataongezea nyama zaidi.