Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu, yeye kwa matumizi yake mbona shwari? Mimi mwenyewe natumia unlimited ya Halotel na kwa matumizi yangu hiyo speed inanitosha kabisa hata after 24 GB

Nafikiri inategemea na mtu anatumia internet kufanyia nini.​
Kabla ya GB 24 ni unlimited speed
-zamani from GB 24 mpaka 350 speed ina pungua ila still usable 3-15MBps na baada ya 350GB ndio inashuka sana
-kwa sasa inasemekana wamepunguza toka GB 350 hadi Gb 100, baada ya GB 100 ndio wanapunguza speed sana.

Still ina value kwa hela kama matumizi yako ni Chini ya 4GB kwa siku.

Benhorta huyu ataongezea nyama zaidi.
 
20240730_225425.jpg

🤣😂😁😁
 
Ni balaaa hata Leo ndio maana nilikuwa sipo online hadi nikanunua gb 7 za postpaid Airtel hapa ndio natumia
We are running out of option, hatuna namna inabidi tukomae tu na upande wenye ka unafuu angalau.

Mi ndio maana pamoja na Throttling nayoipata Airtel bado imebaki kuwa option yenye nafuu kuliko mitandao mingine.

Hivi saizi taratibu najikuta nimeanza hadi kuzoea. Mbps 2.83 naona fresh tu baada ya hapo kikiisha naponunua tu napata 30Mbps

Na hivi tarehe 7 kifurushi kinaisha so lazima ninunue tu sina jinsi.
 
We are running out of option, hatuna namna inabidi tukomae tu na upande wenye ka unafuu angalau.

Mi ndio maana pamoja na Throttling nayoioata Airtel bado imebaki kuwa option yenye nafuu kuliko mitandao mingine.

Hivi saizi taratibu najikuta nimeanza hadi kuzoea. Mbp 2.83 naona fresh tu baada ya hapo kikiisha naponunua tu napata 30Mbps

Na hivi tarehe 7 kifurushi kinaisha so lazima ninunue tu sina jinsi.
Naunga mkono hoja mkuu haloteli wahuni sana
 
Mkuu, yeye kwa matumizi yake mbona shwari? Mimi mwenyewe natumia unlimited ya Halotel na kwa matumizi yangu hiyo speed inanitosha kabisa hata after 24 GB

Nafikiri inategemea na mtu anatumia internet kufanyia nini.​
Sasa wewe utanunuaje 24GB kwa 50K?

Wakati kuna options zingine za GB nyingi kwa bei ndogo zaidi ya hiyo...

Airtel SME wanakupa 22GB kwa 20K, wanakupa 35GB kwa 30K, hiyo 50K yako unayolipa ungekuwa unapata 60GB.

Screenshot_2024-10-06-02-02-57-116_com.android.phone-edit.jpg
 
Kabla ya GB 24 ni unlimited speed
-zamani from GB 24 mpaka 350 speed ina pungua ila still usable 3-15MBps na baada ya 350GB ndio inashuka sana
-kwa sasa inasemekana wamepunguza toka GB 350 hadi Gb 100, baada ya GB 100 ndio wanapunguza speed sana.

Still ina value kwa hela kama matumizi yako ni Chini ya 4GB kwa siku.

Benhorta huyu ataongezea nyama zaidi.
Mambo yamebadilika

Wamefanya marejebisho upya, speed inapungua baada ya GB 24,

Baada ya hapo Download speed inacheza kb 40 hadi 60 kwa sekunde, Kustream huwezi labda 240p
 
Sasa wewe utanunuaje 24GB kwa 50K?

Wakati kuna options zingine za GB nyingi kwa bei ndogo zaidi ya hiyo...

Airtel SME wanakupa 22GB kwa 20K, wanakupa 35GB kwa 30K, hiyo 50K yako unayolipa ungekuwa unapata 60GB.

View attachment 3116451
Kwa sababu kifurushi kilikuwa unlimited pamoja na kuandikwa GB 24, binafsi kabla ya huu mwezi WA Kumi nilikuwa napata spidi ya 45Mbps Hadi 65Mbps hata baada ya GB 24 kuisha
 
Natumkia kifurushi cha 70,000 kwa airtel.
Ila speed kwa sasa iko hapo japo kuna wakati inapanda juu.
Nimefikisha gb 765 mpaka sasa. N
Ila naona ofisini boss wangu ameielewa internet yake. Huwa nikifika tunatumia pamoja. Mwisho wa mwezi ananipa 100k kwa ajili ya kuweka kifurushi kingine. Mwezi mzima tumeruka nayo bila shida yeyote. Naona hapo nimeupiga mwingi.
Screenshot_20241006_064045_Chrome.jpg
 
Natumkia kifurushi cha 70,000 kwa airtel.
Ila speed kwa sasa iko hapo japo kuna wakati inapanda juu.
Nimefikisha gb 765 mpaka sasa. N
Ila naona ofisini boss wangu ameielewa internet yake. Huwa nikifika tunatumia pamoja. Mwisho wa mwezi ananipa 100k kwa ajili ya kuweka kifurushi kingine. Mwezi mzima tumeruka nayo bila shida yeyote. Naona hapo nimeupiga mwingi. View attachment 3116493
Sasa kama anakupa laki, ongeza 10k hapo ununue kifurushi cha 110k, 30Mbps.
 
Ni mwaka sasa umetimia toka tuanze kutumia huduma ya internet ya Airtel 5G Broadband mimi pamoja na wife hapa nyumbani kwangu.

Kwa mwaka mzima tumekuwa tukitumia kifurushi cha mwezi cha 70k chenye speed ya 10Mbps.

Screenshot_2024-10-06-10-53-22-019_com.android.chrome-edit.jpg

Kwa matumizi ya kawaida ya kila siku, ni kifurushi kinachotosha kabisa na kimetusaidia sana kuokoa pesa nyingi tulizokuwa tunatumia kwenye mabando ya kawaida.

Mimi binafsi, enzi hizo nilikuwaga naunga kifurushi cha 30k mara mbili kwa mwezi, ambapo kwa kipindi hicho walikuwa wanatoa 35GB.

Kama una matumizi ya kawaida ya nyumbani yasiyozidi 1TB kwa mwezi, narecommend hii huduma ya internet ya Airtel.

Japokuwa kuna drawbacks ndogondogo za hapa na pale lkn hizi huwa hazikosekani kwenye kila huduma, na zinavumilika kulinganisha na watoa huduma wengine.

Binafsi nawapa rating ya 8/10.
 
Back
Top Bottom