Walivyoanza walisema 10 Mbps kwa 70KView attachment 3129037
Naona Tigo wamekuja na hii. Sasa sijui ni promotion tu kuvutia wateja ama ni endelevu. FTTX competition now is on another level
itakuwa eneo lako wameungia mnara wa voda napewa taarifa hapa wameamishia network yao kwenye minara ya voda piaWala hata sibishi, kwa kasi Tigo wapo vizuri sana, hususani katika eneo langu mfano; ukicheki Speedtest zangu utaona Tigo 4G inakaribia spidi zinazotolewa na huduma ambayo Vodacom wanaiita ‘5G’ hapa nilipo.
View attachment 3133383View attachment 3133384
Mhh.. Sidhani sababu spidi ya 4G ya Vodacom ni mbovu sana yani hata 40 mbps kwa Vodacom ni kazi. Hivyo siamini kama Vodacom watawapa priority Tigo na kuwapatia service nzuri na kutupa subscribers wao huduma mbovu.itakuwa eneo lako wameungia mnara wa voda napewa taarifa hapa wameamishia network yao kwenye minara ya voda pia
Huamini auMhh.. Sidhani sababu spidi ya 4G ya Vodacom ni mbovu sana yani hata 40 mbps kwa Vodacom ni kazi. Hivyo siamini kama Vodacom watawapa priority Tigo na kuwapatia service nzuri na kutupa subscribers wao huduma mbovu.
Hii nisaidie mkuu kwangu inagoma kuleta option ya kujiunga tuchekiane inbox*148*44# hapo unajisjili na tin number na ID hakikisha kwenye account una elfu kumi ya kujinga, vifurushi vyake ni kama aitel sme.View attachment 3107881View attachment 3107882
Hii kama inakukatalia wapigie 100 waeleze laini yako inakataa kujiunga na hiyo huduma, watakuuliza maswali kama kuna subscription zozote umefanya kwenye laini yako, kisha watalichukua kama tatizo baadae, itakubali hata mimi ilikua inakataa nikawapigia 100 baadae nilipojaribu ikakubali.Hii nisaidie mkuu kwangu inagoma kuleta option ya kujiunga tuchekiane inbox
Niliskia kwenye redio (clouds XXL) Vodacom wamekuja na hiki kifurushi kipo ndani ya Vybz japo hawkukitolea(watu wao wa marketing) ufafanuzi *vybz wanasema inaonekana kwa watu wenye 18years - 29yearsSijui Vodacom watapunguza lini Kifurushi chao mpaka Elfu 70 maana Tigo na Airtel tayari...
Tatizo hii ipo maeneo ya tegeta goba mwisho kawe haija enea dsm koteView attachment 3129037
Naona Tigo wamekuja na hii. Sasa sijui ni promotion tu kuvutia wateja ama ni endelevu. FTTX competition now is on another level
Siyo rahisi kiivo mkuu...Mimi nahitaji line yangu iwe activated kukubali kuunga kifurushi cha tigo cha 70,000 kile cha unlimited…
Najiungaje voda postpaid?Airtel wana SME ambayo kwangu naona iko more user-friend maana unajiunga peke yako bila kuhitaji watu wengine.
View attachment 3117276
Voda na Tigo wana Post-Paid ambazo naona wengi wanazilalamikia.
Halotel wao naona wana variety nyingi nyingi ikiwemo M2M ambayo naona wengi ndiyo wanaipenda.
Hii sijawahi kuitumia mkuu... Sijui process zakeNajiungaje voda postpaid?
Mcheki huyu mwamba 0745 915 057 atakuunga na malipo yake ni baada ya kaziWakuu voda kwa Mwezi kifurushi kizuri ni kipi?
Bajeti yangu 35k-50k
Ebu nidadavulie vizuri hii ndugu yangu...Niliskia kwenye redio (clouds XXL) Vodacom wamekuja na hiki kifurushi kipo ndani ya Vybz japo hawkukitolea(watu wao wa marketing) ufafanuzi *vybz wanasema inaonekana kwa watu wenye 18years - 29years