Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

View attachment 3129037
Naona Tigo wamekuja na hii. Sasa sijui ni promotion tu kuvutia wateja ama ni endelevu. FTTX competition now is on another level
Walivyoanza walisema 10 Mbps kwa 70K

Watu tukawachana kuwa hatuwezi kuhangaika na 10Mbps kwenye fiber ambayo ni fixed wakati kuna Router zinatoa speed hiyo hiyo kwa bei sawa na yenu.

Naona wamecheki upepo wameona kweli wataweza kupoteza wateja wengi wakaona wapunguze bei na kuongeza speed.
 
Tigo wamejibebea ka tuzo kao..

Screenshot_2024-10-23-12-22-11-127_com.twitter.android-edit.jpg
 
Wala hata sibishi, kwa kasi Tigo wapo vizuri sana, hususani katika eneo langu mfano; ukicheki Speedtest zangu utaona Tigo 4G inakaribia spidi zinazotolewa na huduma ambayo Vodacom wanaiita ‘5G’ hapa nilipo.

View attachment 3133383View attachment 3133384
itakuwa eneo lako wameungia mnara wa voda napewa taarifa hapa wameamishia network yao kwenye minara ya voda pia
 
itakuwa eneo lako wameungia mnara wa voda napewa taarifa hapa wameamishia network yao kwenye minara ya voda pia
Mhh.. Sidhani sababu spidi ya 4G ya Vodacom ni mbovu sana yani hata 40 mbps kwa Vodacom ni kazi. Hivyo siamini kama Vodacom watawapa priority Tigo na kuwapatia service nzuri na kutupa subscribers wao huduma mbovu.
 
Huamini au
 
Hii nisaidie mkuu kwangu inagoma kuleta option ya kujiunga tuchekiane inbox
Hii kama inakukatalia wapigie 100 waeleze laini yako inakataa kujiunga na hiyo huduma, watakuuliza maswali kama kuna subscription zozote umefanya kwenye laini yako, kisha watalichukua kama tatizo baadae, itakubali hata mimi ilikua inakataa nikawapigia 100 baadae nilipojaribu ikakubali.
 
Airtel wana SME ambayo kwangu naona iko more user-friend maana unajiunga peke yako bila kuhitaji watu wengine.
View attachment 3117276

Voda na Tigo wana Post-Paid ambazo naona wengi wanazilalamikia.

Halotel wao naona wana variety nyingi nyingi ikiwemo M2M ambayo naona wengi ndiyo wanaipenda.
Najiungaje voda postpaid?
 
Back
Top Bottom