Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Walivyoanza walisema 10 Mbps kwa 70KView attachment 3129037
Naona Tigo wamekuja na hii. Sasa sijui ni promotion tu kuvutia wateja ama ni endelevu. FTTX competition now is on another level
Watu tukawachana kuwa hatuwezi kuhangaika na 10Mbps kwenye fiber ambayo ni fixed wakati kuna Router zinatoa speed hiyo hiyo kwa bei sawa na yenu.
Naona wamecheki upepo wameona kweli wataweza kupoteza wateja wengi wakaona wapunguze bei na kuongeza speed.

