the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 829
- 1,096
Kwa upande wangu naona nimeokoa kz nimelipia package ya mwaka 185k na baki niki kimbizana na internet tu 70k. Ila na kuwa na uwakika wa mpira nje na ndani, movie na series bila hustle ya kudownload nani katika quality ya HDSawa sawa mkuu japo hapo gharama naona kama inazidi kushoot ila kama ni kitu cha uhakika basi safi sana
Hapa sijaelewa,nikwamba wanaungiwa manesi na walimu tu auK
Kwa Sasa wameanza na Hospitali na Shule z
a Serekali tu
Organisation's husika ndio zinaomba na hao manesi na walimu watapata tu wifi walienda kaziniHapa sijaelewa,nikwamba wanaungiwa manesi na walimu tu au
Hii airtel fiber naiona kwenye menu yao inakuwaje? na naona kuna fiber zimepitishwa hapa nje kwangu naambiwa ni airtel, je nikihitaji huduma process inakuwaje? na pia naona kuna nguzo pia wanaweka naambiwa ni tigo naomba kuuliza na wao wanapitisha huduma gani kwa nguzo?Organisation's husika ndio zinaomba na hao manesi na walimu watapata tu wifi walienda kazini
Kwanza mkuu si kila fiber ni ya kufungiwa majumbani, wanatumia hizo fiber kuunganisha minara yao na mkonga,Hii airtel fiber naiona kwenye menu yao inakuwaje? na naona kuna fiber zimepitishwa hapa nje kwangu naambiwa ni airtel, je nikihitaji huduma process inakuwaje? na pia naona kuna nguzo pia wanaweka naambiwa ni tigo naomba kuuliza na wao wanapitisha huduma gani kwa nguzo?
Nashkuru Sana Mkuu Kwa hili chimbo. Nime download sasa hv nakula mzigo ulionyooka.Wale wa boli ukiwa na data unlimited hii itawafaa
Minitubetv.com utapata chaneli zote za Dstv na Azam bure
Azam Sports 1,2,3,4 Utv, ZBC, Sinema Zetu
hii app itadumuu kweli, maana kita social media leo nimeona imetajwaWale wa boli ukiwa na data unlimited hii itawafaa
Minitubetv.com utapata chaneli zote za Dstv na Azam bure
Azam Sports 1,2,3,4 Utv, ZBC, Sinema Zetu
Mda sasa Azam imechakachuliwa, unless wawakamate hao wachina wanaochakachua ngumu kupiga pin.hii app itadumuu kweli, maana kita social media leo nimeona imetajwa
kweli mkuu sidhani kama itakua rahisi kuzuia maana kama streaming sites kubwa kama kina sky sports, bein, na wenzao wote bado watu wanaendelea kupata access daily, sema umewataja wachina kuna kitu nimefikiri sjawahi ona website au app yenye gendo la startimes, ni watu hawana interest au mchina yuko vizuri ?Mda sasa Azam imechakachuliwa, unless wawakamate hao wachina wanaochakachua ngumu kupiga pin.
Bado ghali sana, kimsingi wanatakiwa watoe router bure waache wateja wapambane na mabando.Jamaa wameshusha tena bei ya router zao… wangefanya hili toka mwanzo walikua wanateka soko loteView attachment 3182332
Airtel matapel mtandao wao uko slow sana
Mzee utajuta mtandao uko slow kama uwamin nenda Instagram kwenye page yao angalia complain za watuSasa mbna nataka ninunue kesho router yao
Inategemea na eneo lako mkuuMzee utajuta mtandao uko slow kama uwamin nenda Instagram kwenye page yao angalia complain za watu
Au mkoa uliopo nn kaka?Mzee utajuta mtandao uko slow kama uwamin nenda Instagram kwenye page yao angalia complain za watu